Kwenu kuna nini wanachotafuta? Sio unaleta methali ambazo hujui maana yake.Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, the following are fruits from KenyaMti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaHuku kwetu cha kwanza kadi ya ccm mengine baadae.
Wewe hata moja unayo?Masters mbili ndiyo imekua gumzo! nikahisi nitakutana alifanya maajabu ya kiutendaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ni mfatiliaji wa kinachoendelea kenya ni mikakati mingi sana Wana ipanga haswa iko based on Tehama na just incase kenya wakafanikiwa Kwa hayo wanayoyapanga Basi Later on Kenya itakuwa stable sana, Kumbuka tz ni vile hatuna Adui wa moja kwa moja ila usiniambie kwamba Jeshi letu la Polisi liko aware kiasi iko, Sio kwamba nalipuuza ila tu in real sense hawa jamaa wanapiga hatua
HahahahahahaHuku kwetu cha kwanza kadi ya ccm mengine baadae.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, sasa Nyie mtalipuliwa mna maana ipi dunia hii kama si uchawai na kunywa supu ya albino? Hata makonda kasema juzi labda Ile siku mtaacha uganga na uchawi mtakua target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo kama haya yananishawishi kuzuia democrasia inaweza ikawa ni jambo jema.
Umesahau Moja bachelor ya ushoga "Gay" pia anayoNAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet
MARITAL STATUS: Married
AGE: 52
HOME DISTRICT: Keiyo
WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)
ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University
Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom
Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University
International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta
View attachment 1007791
What is it leads in police killings and trible by the way, si uongee tu kiswahiliHahahaha, imekugusa katika mfupa. Police ya Kenya is the most corrupt in Africa, it leads in police killings, and most trible and bogus in performance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe umefika, unajaribu kuchepusha mada, janja zenu zinajulikana.What is it leads in police killings and trible by the way, si uongee tu kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Marital status: Married, tafuta tafsiri yake kwa kiswahili, usiteletee huo ushetani wako hapa.
Akitumia kiswahili ndio atakukanganya zaidi. Inabidi ukubali kwamba baadhi ya wale tunaojadili nao humu ni mazuzu kupindukia. Kisa elimu duni ,na zaidi yake walienda shule kwasababu ya shughuli moja tu, kuvunja madirisha.What is it leads in police killings and trible by the way, si uongee tu kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha! Sema yote na yakwazima pia maana nakusubiri.Hahahahaha, the following are fruits from Kenya
1) Tribalism
2)Corruption
3)Hunger
4Unemployment
5)Slums
6)Crime
7)Police brutality and killings
8)Political assassination and instability
9)Terrorism
10)Land grabbers and injustice
..........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umeabot yakwako ndio maana huna uwezo wa kudadisi mambo.Kijana ka abot hiyo mimba inakufanya kituko.
Jini kisirani kweli.jeshi lenu imara vipi? Juzi Mo alipotekwa nyara iliwachukua siku ngapi kumpata ? Kama si FBI na intelligence ya Kenya angepatikana?.Isitoshe wanaolipua Kenya ni watanzania kwa kinyongo chenu ju ya maendeleo yetu hata leo wamehukumiwa kifungo watu wenu watatu.Kwenu kuna nini wanachotafuta? Sio unaleta methali ambazo hujui maana yake.
Then ni kwamba sisi jeshi letu imara sana tunaogopwa