Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett


Mwisho utalala njaa useme ni watz hawajakupikia.

Imefikia hatua feilure zenu zote mnaona tz ndio inasababisha.
 
Ni kweli haliko aware kama limeufyata kwa majambazi tu litaweza kwenye mambo mazito kama ugaidi?

Hapa kwetu biashara ikifika saa 12, jioni zinafungwa, safari zinasitishwa, response kwenye matukio ni ya hovyo sana.

Uwafananishe na Kenya wanaopambana na ugaidi wa Alshabab?

Tuweni serious tunajeshi la polisi dhaifu sana linalojua kufanya drama za kipumbavu na kuvuruga mikutano ya vyama vya siasa.

Hakuna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chizi wewe, Kenya mnashindwa hata kudhibiti wakora hapo Nairobi, crime rate is the highest in Africa, eti mnaweza kusaidia Tanzania. Leteni polisi wenu waje kufundishwa na POLISI wa Tanzania jinsi ya kupambana na crime, otherwise mtaendelea kuwa na most ruthless police force, insecurity and police killings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CV haina maana kama wanashindwa kupambana na ugaidi nchini mwao.
Umuhimu was elimu huonekana pale elimu inapo tumika,hebu linganisha majibubya igp was tz Sikh alipotekwa MO na majibu igp was nyayo Siku ya tukio LA ugaidi kenya
 
Tufananishe bado nayale mauaji ya askari wetu takribani watano kama sikosei nao ilikuwa aina ya ugaidi!!
 
CV haina maana kama wanashindwa kupambana na ugaidi nchini mwao.
Wewe hujui chochote Kenya isingekuwa na intelligence zuri ingekuwa inapigwa kila siku wanajitahidi sana na wanazuia matukio mengi sana yanayotokea ni bahati mbaya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono wanajitahidi sana kwaadui waliye naye wangekuwa wanapigwa kila siku wanajitahidi sana kuzuia matukio mengi sana kwa wako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unamatatizo sana, hivi unajua sababu zilizosababisha MZEE Malicela akiwa waziri mkuu kupiga marufuku safari za usiku kwa mabasi?, sababu ilikua ni ajali za barabarani na sio uhalifu.

Wewe unapima utendandaji wa jeshi la POLISI kwa kuzingatia vigezo gani?, kazi ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na Mali zao, sasa kati ya Kenya na TZ wapi kwenye usalama?, hivi unajua ujambazi na mauaji yanayotokea Kenya kila siku?

Kama Kenya inaongoza Afrika kwa police killings na brutality, corruption na kushindwa kupambana na crime, na bado unasifia POLISI wa Kenya, unajitambua kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo najitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tz we mfurahishe mjomba cv zako hazina kazi unatoka kuwa hakimu mpaka jaji,wilaya mpaka mkoa na n.k
 
Hapo umenena , ndicho kinachotuangusha Watanzania . Mf . Wilaya zilizo mpakani , wakuu wa wilaya wakikutana kwa nchi husika , kujadili jambo la maendeleo , wasioenda shule wanaishia kugonga meza kwa hasira .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Joto ka jiwe kweli ni nyani ambaye haoni kundule, Mwanajeshi wenu ambaye aliuwawa akijaribu kujinasua kutoka Kwa wabakaji , kwani hayo si mauwaji?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We fala kweli eti FBI na Kenya intelligence tangu lini kwenye nchi yetu? Acha uongo wa Kimaku. Hatutegemei jeshi lolote la kingese from any where. Acha ukibobo
 
Nitajie hao wa Tz walio hukumiwa.
Alshabaab wako somalia na kenya mbna unachanganya madesa. Au ushavuta gundi kama kawaida yenu.
 
Dah! Joto ka jiwe kweli ni nyani ambaye haoni kundule, Mwanajeshi wenu ambaye aliuwawa akijaribu kujinasua kutoka Kwa wabakaji , kwani hayo si mauwaji?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, tunazungumzia institution jombaa, sio individual. Jeshi la police la Kenya is the worst in Africa for brutality, extra judicial killings, corruption, ukabila, kushindwa kuzuia uhalifu, uzembe na kusababisha Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye usalama wa hovyo hapa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…