Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

Ila ukitafakar kwa kina una hoja za msingi kaka.we kula raha tu
 
Niondoke niende wapi....nitachakatwa kwa hela zako ntaiosha ntarudi kutumia hela zako,na ulivyo na mapungufu mbwa wewe ,
 
Niondoke niende wapi....nitachakatwa kwa hela zako ntaiosha ntarudi kutumia hela zako,na ulivyo na mapungufu mbwa wewe ,
Acha kutafuta mileage na kushobokea waume za watu. Mke wangu hayupo jf
 
Kama aliweza kuacha maswali wazi kwenye mtihani wake wa Taifa, hata wewe atakuacha tu.
 
Hawa wake zetu sijui kwanini huwa wanajisahau kiasi hicho. Hawajui nafasi tunazowapa ni kubwa sana.
 
Wahenga walisema wajinga ndio waliwao!
 
ujue nae mkeonatatafuta mchepuko wake pia
 
Sema nini, hao Wadigo ni hatari kwa Bed

Kama sio mzoefu Kama alivyo mtoa mada anaweza jikuta anaanza kumjengea nyumba huyo mchepuko wakati yeye mwenyewe yupo kwenye nyumba ya kupanga 🤗
Sio poa aisee, kuna mmoja nlikuwaga namwita “Becky” yan kama kibogoyo daaah aisee me kuna vyakula nlikuwaga sipend aisee kumbe vilikuwa havipikwi ipasavyo, yule mtoto nikimkumbuka aisee nachanganyikiwaga, kashaolewa saivi, yan alinifanya nione wanawake wengine ni below average, so sikuiz hata mwanamke akiniringia na kama sijamla siumii hata kidogo na assume hawez perfom kama yule so huwa sihangaiki nao kabisa aloo. Juz kanitumia audio whatsapp nikajibu kwa audio aloo akareply “Kumbe you still have that stones gravel’s voice” nlitamani aisee niruke nitue Dom, nikikumbuka hayo maneno alikuwaga ananiambia ana kwa ana tukiwa bedroom nampigisha stori za hapa na pale huku tukiangali P.B…Umenikumbusha mbali sana mkuu daaah
 
Hao wenye huo utaalamu ni wachache miaka hii.

You can date 100 young females, lakini wakapatikana labda 2 ama 3
 
Muweke ndani km hujaja piga kelele hapa utaizwa mpk wewe mwenyewe,anapalilia njia huyo na kwakua amekuweka kati tyr huyaoni hayo ipo cku utapiga kelele km mbwa aliepigwa jiwe huwajui vzr watoto wa pwani ww
 
Mkinga kumechangamka kumbe? Kuna haja ya kufanya utalii wa ndani huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…