Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Sisi tukaze macho kufika Mbinguni kwa kuonesha UPENDO, ukarimu , upole ,kujali na kutokubagua, hivyo ndivyo tutakavyomuhubiri kristo,hata bila kusema watatusikia,walio bahatika neema ya utukufu wataongoka, siyo kwa kisu,upanga Wala mabomu,ila kwa kudhihirisha UPENDO,

jina Yahweh lihimidiwe wapendwa
Amina
 
Happy xmass

Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdaharo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus

Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?

Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?

Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa

Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Siamini hii habari hata kidogo... Mama hawezi kuruhusu upuuzi huu ambao madhara yake yalionekana kipindi cha JK kama sio Mkapa.... So kwa kipindi hiki hawezi kuruhusu. Mleta uzi acha uchochezi bana..... Namuamini sana mama katika kutuunganisha watanzania wote bila kujali mambo ya imani
 
Happy xmass

Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdaharo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus

Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?

Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?

Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa

Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Hilo tangazo limetoka lini ,,umesema umeliona azam TV sasa iweje unawalaumu waislam,,kwani azam TV ni chombo cha kiislam?
 
Ni mdahalo mwanetu 😀 kuhusu mjadala hizo ni story tu hakuna hao watu Toka Dunia inaanza ni nadharia tu hizo wafia dini walinzisha Dini ili kupiga hela
 
Back
Top Bottom