Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Amina
 
Siamini hii habari hata kidogo... Mama hawezi kuruhusu upuuzi huu ambao madhara yake yalionekana kipindi cha JK kama sio Mkapa.... So kwa kipindi hiki hawezi kuruhusu. Mleta uzi acha uchochezi bana..... Namuamini sana mama katika kutuunganisha watanzania wote bila kujali mambo ya imani
 
Hilo tangazo limetoka lini ,,umesema umeliona azam TV sasa iweje unawalaumu waislam,,kwani azam TV ni chombo cha kiislam?
 
Ni mdahalo mwanetu 😀 kuhusu mjadala hizo ni story tu hakuna hao watu Toka Dunia inaanza ni nadharia tu hizo wafia dini walinzisha Dini ili kupiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…