Jamaa Manara huwa analindwa na mabaunsa Yanga wakifungwa, wanamuweka mbali na waandishi wa habari, ila utopolo wakibahatisha ushindi yeye Manara ndie anawakimbilia wanahabari, wapo kipropaganda sana.
Mwaka namuoneaga huruma sana pindi yanga inapofanya vibaya ye ndo wanamtanguliza, anaongea mpaka anavuka mipaka masikini ya mungu mpaka anakula ban 😄😄 ila kwenye uto day hata kipaza ajapewa kapewa msukule