Huu mgawanyo wa Kimajukumu wa hawa Viongozi Waandamizi wa Yanga SC Kitaalamu unaitwaje?

Huu mgawanyo wa Kimajukumu wa hawa Viongozi Waandamizi wa Yanga SC Kitaalamu unaitwaje?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yanga SC ikiwa inafanya vyema

Wazungumzaji Wakuu ni

1. Injinia Hersi Said
2. Haji Manara
3. Mshindo Msolla

Yanga SC ikiwa inafanya vibaya

Wazungumzaji Wakuu ni

1. Haji Mfikirwa
2. Hassan Bumbuli
3. Haji Mfikirwa

Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.
 
Yanga SC ikiwa inafanya vyema

Wazungumzaji Wakuu ni

1. Injinia Hersi Said
2. Haji Manara
3. Mshindo Msolla

Yanga SC ikiwa inafanya vibaya

Wazungumzaji Wakuu ni

1. Haji Mfikirwa
2. Hassan Bumbuli
3. Haji Mfikirwa

Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.



namba tatu mweke Big mwaka
 
Jamaa Manara huwa analindwa na mabaunsa Yanga wakifungwa, wanamuweka mbali na waandishi wa habari, ila utopolo wakibahatisha ushindi yeye Manara ndie anawakimbilia wanahabari, wapo kipropaganda sana.

Utopolo Political Party.
 
Mwaka namuoneaga huruma sana pindi yanga inapofanya vibaya ye ndo wanamtanguliza, anaongea mpaka anavuka mipaka masikini ya mungu mpaka anakula ban 😄😄 ila kwenye uto day hata kipaza ajapewa kapewa msukule
 
Back
Top Bottom