Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

wanapatikana wapi? nitakupa namba ya simu ya mtu ambaye anashughulika na charity kwenye organization yangu. huwa natoa sana mwaka jana watoto wa marehemu Mengi niliwasaidia vijicent kidogo niliona nao watakuwa na hali mbaya walimpoteza baba yao.
Huna hata mia wewe,mbona unatumia mtandao wa kimaskini
 
We jamaa huu muda unaotumia kuandika hizi stori ungekua unautumia kutafuta hela saizi ungekua kweli tajiri.
 
Muajiri baba yako wewe ukivipata visima vitano Uarabuni.
Kazi kwisha!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Watu mnapata wapi mda wa kuandika utumbo wote huu ?
 
Je, kama yuko kwenye shughuli zake akisubiri wateja? Punguzeni mihemko
We jamaa huu muda unaotumia kuandika hizi stori ungekua unautumia kutafuta hela saizi ungekua kweli tajiri.
 
Nmesoma mpaka line ya 3 faster nikarudi kucheck who is OP chap Nika[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu nakuamini hebu endelea kutusimulia, na vipi ule mpango wa kukununulia zile bugatti mbili na HIMARS za kuzilinda..!!?
 
Bora hata walivyofungia vumbi la congo maana sasa watakosa hela za bundle wanazohongwa na maajuza baada ya ngono.
 
Nimecheka sana, Hadi wife akaniukiza mpenzi umelewa Drostov kweli? Comment za mwanzo mwanzo...kweli Melo ajengewe sanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…