Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

Wakati nasoma shule ya Sekondari kuna mwanangu mmoja akishavuta bange anakaa anatuliaaa tulii, nikimuuliza vip man mbona utulivuu.......ananijibu kuwa "Mwanangu hapa nausikia wimbo wa bob kwa mbaalii,huyu mwamba hajafua tunaongopewa tuu"
Muandishi kajitahidi lakini,katuliza akili saana kuiandika hii
 
Kwenye story ya gari umeandika vizuri, ila ya huyo binti umeiharibu kusema hajala masaa matatu hadi wakaitwa watu mashuhuri toka sehemu mbalimbali.
Kwamba ile Rolls Royce Cullinan ya Diamond Platnumz na ya Bakhresa sio..halisi ila hii ya 2022 ndo halisi...😂😂😂
 
Daah umetisha Sana mkuu, nilikuwa sijacheka toka asubuhi,nimeongeza siku za kuishi kidogo
 
Mkeka wa usaili wa sensa ushatoka,nenda kaangalie jna lako!
 
Nilipoona Uzi Genta hajacoment popote Wala mshana Wala Pascal nikajua au Basi
 
Nimevamia uzi bila kucheck ID, nilipofika hapo kwenye “kuninunulia gari” tu nikajua lazima awe Kiduku. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
kiduku lilo unachukua mda sana kuleta nyuzi,huwa nasoma kimya kimya but naenjoy,basi kuna uzi wa kubadili ID ulileta,basi popoma gentamycine akajichanganya jamani jamani kuna wanaume wanajua kuchamba*chizimaarifa# nakomeo la chuma ni walimchamba popoma sio poa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…