Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nitajie nchi iliyofanikiwa weka na ushahidi.Kwani kwa wenzetu waliwezaje kususia bidhaa na huduma na sisi tushindweje?
Ni suala la kupunguza spending tu.
Kenya baada ya Post Election Violence ya mwaka 2007/8 ambapo Mwai Kibaki mkikuyu alishinda na kukawa na mauaji ya kikabila, kulifuatiwa na azimio la kugoma bidhaa za Wakikuyu. Kwenye real life ilionekana kuwa Mabilionea wakikuyu (Kenyatta, Njenga Karume, Michuki, Githanga etc) wanatoa ajira kwa 25% ya raia wa Kenya walio kwenye ajira.
Hivyo ikaonekana kugomea Wakikuyu ni kugomea kipato/ mshahara ambayo ni suicide