Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Hayupo wa kufanya huo ujinga
Waulize CCM Zanzibar kilichowafanya mpaka kuja kukaaa meza moja na CUF Kuunga SUK, Kama Cuf ndio wanabomba LA maji au kisima wa Ccm hachoti likewise Kama wa Ccm anaduka wa CUF hawaendi hilo duka. Endeleeni kufuga visasi tu mtapata mnachokitafuta hata misiba watu wakawa hawazikani .Kulikua na social media gani 2001!!??
 
Lema na Lisu waliwahi kuja na kampeni kwamba wafuasi wao wasusie laini za voda,, na kweli wafuasi wajinga wakawa wanatuma vipicha eti wamevunja laini za voda.

Siku walipokamatwa hao kina Lema wakatoa namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni ujinga
[emoji3]Dah..za kuambiwa..
 
Waulize CCM Zanzibar kilichowafanya mpaka kuja kukaaa meza moja na CUF Kuunga SUK, Kama Cuf ndio wanabomba LA maji au kisima wa Ccm hachoti likewise Kama wa Ccm anaduka wa CUF hawaendi hilo duka. Endeleeni kufuga visasi tu mtapata mnachokitafuta hata misiba watu wakawa hawazikani .Kulikua na social media gani 2001!!??
Hii ni hatari sana..Wanasiasa wanapenda Madaraka lakini hawapendi Siasa..
 
Hili halitafanikiwa Mkuu.

Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
Chadema haishindwi kupambana na CCM. CCM haipambani yenyewe inatumia jeshi,mahakama, na tume ya uchaguzi
 
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.

Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.

Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Kwako IGP Sirro. Wakung'ute wote watakaogomea bidhaa na huduma kama utakavyofanya kwa wandamanaji wa Chadema.
 
Masikini wanahangaika hadi huruma kwa kweli, ila kibaya zaidi na mahangaiko yote haya hakuna mwenye nia njema ya mabadiliko ya kweli tofauti na uroho wa madaraka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huduma gani na Serikali per se inatoa huduma gani?

Mahosipitali, Luku, Maji ? Au?
 
Nipo Space ya Maria Sarungi ambapo baadhi ya makada wa CHADEMA na Wanaharakati wanajenga hoja juu ya kususia bidhaa na huduma mbalimbali ili kuikosesha serikali mapato.

Wanaanza na kutoa historia ya Boycotting ambapo kwa wakati fulani, watu wa Uingereza walikuwa hawapendezwi na biashara ya Utumwa. Ili kuukomesha, wakaacha kutumia Sukari ambayo ilikuwa ikitengenezwa na Watumwa. Na hivyo ikasabisha kiwanda kufungwa kwa sababu bidhaa hazitoki.

Wanasema kuwa, jamii ya Watanzania wakipunguza matumizi ya bidhaa na huduma kama vile unywaji wa Bia, kupunguza matumizi ya sukari, maji ya kunywa, kupunguza miamala isiyo ya lazima na vyakula katika hoteli zilizosajiliwa.

Wanaamini kuwa kupunguza huko matumizi ya huduma na bidhaa itasababisha serikali kukosa kiasi kikubwa cha mapato.

Na kukosa huko mapato itasababisha serikali ishindwe kujiendesha kwa sababu mapato yamepungua. Na bila shaka, kutafuta namna ya kukaa na wadau na kuzungumza nao ili kuweza kutatua yaliyomo.

Wanaamini kuwa, njia hii ya kususia bidhaa na huduma 'Boycotting' itakuwa na ufanisi kwa sababu hakuna polisi watakaokuja kuwalazimisha watu watumie.

Wanaona kuwa njia hii ni ya amani na hivyo itawalazimisha serikali kurudi katika Misingi ya Utawala bora na kuleta uchocheo wa Katiba mpya.

Je, CHADEMA watafanikiwa kwa njia hii?
Mimi naanza leo hii kususia kunywa bia, soda, na maji ya kwenye chupa kwa miezi 3 kuunga mkono azimio hili.
 
Kenya waliweza 100 percent...muulize Kenyatta...Hadi magari ya kampuni zake ya kusambaza bidhaa yaliharibiwa... Hand shake ilirudisha hali

Kenya hayo yanawezekana kwa sababu kuna class struggle basing on the tribes. Yaani kuna watu wa kabila fulani wanateseka na kuna wengine wa kabila lingine wanakula bata. sasa hapo kuna mstari kabisa unaowatenga. mpaka wana sema sisi umasikini wetu ni kwa ajili ya kikuyu. wamepora nchi. sisi hatuna hiyo, hakuna wa kumnyoshea kidole.
 
Masikini wanahangaika hadi huruma kwa kweli, ila kibaya zaidi na mahangaiko yote haya hakuna mwenye nia njema ya mabadiliko ya kweli tofauti na uroho wa madaraka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhangaika kwa ajili ya kujenga taifa lenye HAKI ni mahangaiko ya heshima.
Wacha struggle ziendelee ili tujifunze mengi, eventually tutapata formula Ya kuiumiza CCM bila hata kulazimika kutia mguu mtaani. Kila kitu ni study!
 
Kwasabu chadema wapo wachache hawatofanikiwa ,labda wananchi kwa ujumla bila kujali vyama ndio hiyo kitu itawezekana kumbuka walisusia voda mpaka sasa inadunda
Wanachama wa CHADEMA na wanaharakati siyo wachache. Ni zaidi ya 25% ya wa TZ wote. "So they have a significant impact on the tax revenue collection".
 
Rudi nyuma kidogo historia ya Zanzibar nini kilitokea mpaka Ku let a SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ..
Msimamo wa wapemba unaufananisha na watu gani hapa Tanganyika?

Wapemba walikua tayari kufa kwa ajili ya Maalimu, hapa nani yuko tayari kufa?

Tena kwa ajili ya wapuuzi wasioaminika.
 
200k people with brain!

1 person with brain can make 800k brainless people look like zombies.
Huo mgomo ni wa KIPUMBAVU kabisa na wala hauwezi kuleta impact kwa uchumi hata kwa 0.00000001%.

Kwa mfano kugomea mitandao ya simu unaanzanje? Hata kwenye hiyo Space wanatumia simu. Una mzazi wako inabidi umpelekee fedha ya chakula au dawa, utafikisha vipi ukigoma ?

Vijana wengi hayo makampuni ya huduma ndiyo ajira zao indirectly, wanasoma halafu wanakosa kipato.

Hiyo mijadala yao ni ya KIPUMBAVU
 
Kenya hayo yanawezekana kwa sababu kuna class struggle basing on the tribes. Yaani kuna watu wa kabila fulani wanateseka na kuna wengine wa kabila lingine wanakula bata. sasa hapo kuna mstari kabisa unaowatenga. mpaka wana sema sisi umasikini wetu ni kwa ajili ya kikuyu. wamepora nchi. sisi hatuna hiyo, hakuna wa kumnyoshea kidole.
Hata TZ kuna social disparity kati ya wanaccm na siyo wanaccm. Wanaccm ndiyo wenye nchi na wengine ni watawaliwa, marofa na mazuzu.
 
Huo mgomo ni wa KIPUMBAVU kabisa na wala hauwezi kuleta impact kwa uchumi hata kwa 0.00000001%.

Kwa mfano kugomea mitandao ya simu unaanzanje? Hata kwenye hiyo Space wanatumia simu. Una mzazi wako inabidi umpelekee fedha ya chakula au dawa, utafikisha vipi ukigoma ?

Vijana wengi hayo makampuni ya huduma ndiyo ajira zao indirectly, wanasoma halafu wanakosa kipato.

Hiyo mijadala yao ni ya KIPUMBAVU
Kwani kwa wenzetu waliwezaje kususia bidhaa na huduma na sisi tushindweje?

Ni suala la kupunguza spending tu.
 
Back
Top Bottom