Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kuna watu bora kuliko mimi, watawapatia namna bora ya kupambana na CCM.Waendelee kutumia non violence it pay off in the future, tofauti na hapo unawaambia watumie violence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu bora kuliko mimi, watawapatia namna bora ya kupambana na CCM.Waendelee kutumia non violence it pay off in the future, tofauti na hapo unawaambia watumie violence
Chadema ina wanachama Milion 6 au 7, hao wanafikiwa kirahisi sana kupitia machinery ya chama
Ni mjinga tu ndio anaweza kudharau hili lakini ukweliKuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Ni mjinga tu ndio anaweza kudharau hili,lakini hili jambo linawezekana sana maana halina madhara kama kuandamana.Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Upo sahihi!Hivi huko mtaani mnakokuzungumziaga ni wapi? Maana sisi tuliopo humu ndo hao hao tunaoishi mtaani.
Hazijawahi kufanana! Mfano halotel elfu 1 unapata gb 1 na madakika kibao wiki nzima wakati voda hiyo elfu 1 hata mb 500 hupati.Kwanini halotel, airtel na tigo wao wapate faida wakati ughali wa vifurushi ulikuwa kwenye makampuni yote?
Sasa hapo umesusia kitu gani? Ukipigiwa hupokei?Waweza kususia huduma zingine za voda ukabaki na M-PESA tu kwa malengo fulani.
Basi siyo tu wapumbavu ila ni malofaUmesikiliza au huna masikio unataka kutafuniwa?
Hawasemi kususia, wanasema kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Kwa mfano ulikua unakunywa soda 2 kwa siku, kunywa moja tu.
Unavuta sigala 4 kwa siku, vuta mbili.
Unakunywa bia 6, kunywa 3.
Kuna zile sehemu ambazo hazimdhuru mtu na ni muhimu kwa serikali ambayo inapata jeuri na kuwadharau walipa kodi ndizo zenye kupigwa. Hii kampeni unaweza ukaidharau lakini ikiwafikia wengi ni hatari
Utoto wa manufaaUtoto.
Umewahesabu?Kwasabu chadema wapo wachache hawatofanikiwa ,labda wananchi kwa ujumla bila kujali vyama ndio hiyo kitu itawezekana kumbuka walisusia voda mpaka sasa inadunda
Kwakua hawana haki na hii nchi.?Basi siyo tu wapumbavu ila ni malofa
Ni njia nzuri sana na ina manufaa yafuatayo:Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Eh! Wewe una akili nyingi sana, na kwa kitendo hicho ulichomfanyia jamaa yako Nafikiri kila mmoja ana kuona shujaa! Utalinganishwa na watu kama Gandhi, Mandela, Martin Luther, Lumumba na Che kwa kitendo hicho ulichomfanyia jamaa yako! Una matendo mema sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa mimi nimesitisha kutuma pesa kwa njia ya muamala ya simu. Na sinunui chochote kwenye duka la mwanaccm, huku ni kishawishi watu wengi kufanya hivyo. Nitanunua kitu kwa mwanaccm inaposhindikana. Pia unahakikisha kushawishi wapinzani hakuna kuhudhuria sherehe wala msiba wa mwanaccm. Jamaa yangu kafiwa na mama yake mwanaccm, nimemwambia natoa mchango tu ila msiba wa mwanaccm sihudhurii. Na kwenye kikao cha mazishi nikalisema hilo wazi. Nilifurahi maana niliwagawa watu kwenye msiba ule. Mjinga mmoja wa ccm anaitumia sms usiku kuwa hivyo sio vizuri kwakuwa sisi ni watanzania. Sijamjibu huo upuuzi.
Danganya wajinga, hakuna kampuni iliyohangaika kama halotel ni miezi kama miwili imepita Sasa tangu wafanye mabadiliko na Sasa ndo wameanza kurudi mdogomdogo.Hivi voda ilivyo sasa ndivyo ilikuwa miaka 5 iliyopita? Unajua voda imetengeneza hasara ya billion 60 mwaka Jana
Unafikiri ni kwanini wametengeneza hasara wakati
Airtel, Tigo na halotel wametengeneza faida?
Ni mbadala wa maandamano maana huku hawawezi kuja na wataomba poo very soon, ngoja tuonyeshane makali kwanza...Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Vipi msiba wa kaka yake Mbowe, ulihudhuria?Mpaka sasa mimi nimesitisha kutuma pesa kwa njia ya muamala ya simu. Na sinunui chochote kwenye duka la mwanaccm, huku ni kishawishi watu wengi kufanya hivyo. Nitanunua kitu kwa mwanaccm inaposhindikana. Pia unahakikisha kushawishi wapinzani hakuna kuhudhuria sherehe wala msiba wa mwanaccm. Jamaa yangu kafiwa na mama yake mwanaccm, nimemwambia natoa mchango tu ila msiba wa mwanaccm sihudhurii. Na kwenye kikao cha mazishi nikalisema hilo wazi. Nilifurahi maana niliwagawa watu kwenye msiba ule. Mjinga mmoja wa ccm anaitumia sms usiku kuwa hivyo sio vizuri kwakuwa sisi ni watanzania. Sijamjibu huo upuuzi.
Good watu wasusie huduma mbovu za CCMKuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Vipi msiba wa kaka yake Mbowe,ulihudhuria?
Kwa hicho ulichoandika, nakuhurimia sana 😂😂