Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
Ulisikiliza space jana?Huu ni uzushi wako mwenyewe, acha kudanganya watu.
Chadema wanaweza kuwa na kasoro kadhaa lakini sio kukosa akili kiasi hiki kwamba wadhani wakisusia bidhaa itakuwa na impact kwenye uchumi kwa sababu hata CCM wakisusia hakuwezi kuwa na impact.
Kwa hiyo hii kitu umejitungia kichwani halafu unaileta hapa ukisingizia Chadema