Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Kwanza warudi bongo tupambane pamoja huyu LEMA kahamisha hadi house girl wake wanakaa sjui Canada mm hata Kula yangu siijui

Naipenda chadema ila kupelekeshwa sitaki warudi bongo tupambane pamoja kimtoa mkoloni mweusi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yaani uhuru wako unataka lema na lissu ndio waje waupambanie? Unatofauti gani na watumwa wa zamani?

Kesho ya wanao aje mwingine kweli akushikie?
Kama umeridhika na haya yote wewe kausha endelea na mishe zako. Chadema wanayo hoja japo siwapendi
 
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.

Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.

Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Hivi Tanzania kuna upinzani kweli.Mbona wanaanza kupotea kwenye mawazo ya watu.Sioni possibity ya kitu kama hicho kufanikiwa, ingawa swala chanjo linaweza kuingiza sumu mbaya.Ipo sintofahamu kubwa kwenye chanjo!
 
Naichukia CCM Sana, sitakuwa upande wao. Ila hili la kususia huduma au bidhaa ni wazo ambalo haliwezekani
Sijui kwa nini wamewaza hivyo, inapaswa kuwaza na kufanya Yale yanayowezekana
Hujaambiwa ususie. Hujaelewa hoja yao. Wanakuambia kama kweli una nia ya kutaka serikali iwe sikivu na yenye kujali malalamiko ya wananchi wake, basi japo punguza baadhi ya vitu ambavyo sio vya lazima. Kwa mfano unavuta sigara 6 kwa siku. Amua kuvuta 3 tu. Au kama unakunywa bia 4 kwa siku na unaenda bar, basi amua kunywa bia 2 kaa zako home na familia.

Utaona ni utoto lakini wakifanya hivyo wanywaji mil 2 unadhani serikali itakua imekosa kiasi gani kwa siku.?

Huo ni mfano tu
 
Ni
Nipo Space ya Maria Sarungi ambapo baadhi ya makada wa CHADEMA na Wanaharakati wanajenga hoja juu ya kususia bidhaa na huduma mbalimbali ili kuikosesha serikali mapato.

Wanaanza na kutoa historia ya Boycotting ambapo kwa wakati fulani, watu wa Uingereza walikuwa hawapendezwi na biashara ya Utumwa. Ili kuukomesha, wakaacha kutumia Sukari ambayo ilikuwa ikitengenezwa na Watumwa. Na hivyo ikasabisha kiwanda kufungwa kwa sababu bidhaa hazitoki.

Wanasema kuwa, jamii ya Watanzania wakipunguza matumizi ya bidhaa na huduma kama vile unywaji wa Bia, kupunguza matumizi ya sukari, maji ya kunywa, kupunguza miamala isiyo ya lazima na vyakula katika hoteli zilizosajiliwa.

Wanaamini kuwa kupunguza huko matumizi ya huduma na bidhaa itasababisha serikali kukosa kiasi kikubwa cha mapato.

Na kukosa huko mapato itasababisha serikali ishindwe kujiendesha kwa sababu mapato yamepungua. Na bila shaka, kutafuta namna ya kukaa na wadau na kuzungumza nao ili kuweza kutatua yaliyomo.

Wanaamini kuwa, njia hii ya kususia bidhaa na huduma 'Boycotting' itakuwa na ufanisi kwa sababu hakuna polisi watakaokuja kuwalazimisha watu watumie.

Wanaona kuwa njia hii ni ya amani na hivyo itawalazimisha serikali kurudi katika Misingi ya Utawala bora na kuleta uchocheo wa Katiba mpya.

Je, CHADEMA watafanikiwa kwa njia hii?
Ni wazo zuri sana sasa tukubaliane ni bidhaa ipi. Napendekeza tususie pombe kwa mwezi wote wa August.
 
Kuna ndg yangu jana mtoto wake kaja anaomba msaada wa ada nikamwanbia nitaongea na mama yake yeye arydi ndo imetoka hiyo
 
Hao wapumbavu wa twitter nani ana habari nao? Tukisusia watatuletea maendeleo?
Maendeleo ya kujengea viongozi waliostaafu mahekalu na kuwapa magari? Hayo maendeleo ya viongozi wanaokaa maofisini na kujinunulia maVXR hatuyataki.
 
Ni

Ni wazo zuri sana sasa tukubaliane ni bidhaa ipi. Napendekeza tususie pombe kwa mwezi wote wa August.

Pamoja na kutohudhuria misiba au sherehe za wanaccm.
 
Ni wapumbavu kwa mfano wamesema watasusia bidhaa zipi na zipi sasa?
Umesikiliza au huna masikio unataka kutafuniwa?
Hawasemi kususia, wanasema kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Kwa mfano ulikua unakunywa soda 2 kwa siku, kunywa moja tu.
Unavuta sigala 4 kwa siku, vuta mbili.
Unakunywa bia 6, kunywa 3.
Kuna zile sehemu ambazo hazimdhuru mtu na ni muhimu kwa serikali ambayo inapata jeuri na kuwadharau walipa kodi ndizo zenye kupigwa. Hii kampeni unaweza ukaidharau lakini ikiwafikia wengi ni hatari
 
Sarungi mtoto wa kiongozi mstaafu, Fatma Karume mtoto wa familia ya viongozi,vijana masikini pambaneni kusaka fursa hivyo vibibi vina kilakitu kwenye familia zao.
Wana nini cha kupoteza hata wakiamua kuunga juhudi za ccm.?

Huoni kama wameamua kuwa upande wa wasiojielewa ili akili zikae sawa?
 
Mkuu ccm hawawezi kufanya hivyo maana wanajua madhara yake

Ukianza kususa hautoishia hapo, utaleta uhasama

Mwisho wa uhasama ni nini mkuu!

Mpaka sasa uhasama upo, mbinu ya kususia misiba na sherehe za wanaccm ilifanya kazi Zanzibar huko Pemba. India pia ilifanya kazi kwa wahindi kususia bidhaa za waingereza.
 
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.

Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.

Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Yaan nimecheka kweli .Hao wapuuzi wa kwenye kiboard unawasikiliza halafu unatoa ushauri.Kwa hiyo nchi yote ni cdm.?Tunakubali kuwa cdm wapo.Lakini ccm pia wapo tena wengi sana.
 
Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili

Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi

Ufinyu wa kufikiri. Wewe unadhani makusanyo yoote ya serikali yanaenda kulipa askari? Hujafikiria madawa hospitali, mishahara ya walimu na watumishi wengine n.k mambo luluki.

Lkn hiyo kampeni yenu inabidi mjipange, maana hilo mnaloliwaza, hampambani ni ccm bali mnapambana na wananchi. Maana ukisema unapambana na serikali, kwa lugha nyingine ni kuwa mnapambana na wananchi. Kama lengo lenu ni kuwa dhidi ya wananchi, ni kwamba mmeshindwa kabla ya kuanza vita.
 
Nadhani anayesema nhaya ni mtoto maana hata faida ya kusave hela haijui i ststed serikali haitaoata hela zangu kizembe.
Na ikitokea ikawa na mwitikio, watu wataona matunda yake ambayo ni kuwa na akiba ya kutosha maana watakua wamepunguza matumizi yasiyo ya lazima
 
We ni mjinga sana inamaana huon serekali haitumii jukwaa huru kushinda na chadema alafu unawatuhumu wameshindwa kwa hoja, Tanzania ina wajinga wengi na watu wasiojielewa
Hujanielewa! Au pengine misamiati iliyotumika kwenye sentensi yangu ni mipya kwako.

Ukiambiwa umeishiwa mbinu dhidi ya mpinzani wako ina maana umeishiwa hoja?

Ukiambiwa akili yako imeshastaafu dhidi ya mpinzani wako inamaanisha umeishiwa hoja?

Nenda taratibu usome na uelewe vizuri.
 
Kadri mtu aavyopata au kupatishwa shida na taabu ndivyo maarifa mengi ya kujikwamua humjia, Hivyo ninaamini kadri ccm wanavyozidisha ukandamizaji kwa wapinzani, ndivyo wapinzani wanavyopata maarifa mapya ya kukabiliana nao, ipo siku kuna plana lazima itafanyakazi, haitazuilika si kwa jeshi la polisi wala mabomu ya machozi!
 
Hujanielewa! Au pengine misamiati iliyotumika kwenye sentensi yangu ni mipya kwako.

Ukiambiwa umeishiwa mbinu dhidi ya mpinzani wako ina maana umeishiwa hoja?

Ukiambiwa akili yako imeshastaafu dhidi ya mpinzani wako inamaanisha umeishiwa hoja?

Nenda taratibu usome na uelewe vizuri.
Huwezi sema wameishiwa mbinu nawakati mwenzako anacheza faulu wazi wazi hakuna uwanja huru huwez walaumu
 
Huwez sema wameishiwa mbinu nawakati mwenzako anacheza faulu wazi wazi hakuna uwanja huru huwez walaumu
Huko ndiko kuishiwa mbinu!

Mwenzako anacheza DEMOGHASIA na si DEMOKRASIA wewe unataraji fair play?

Bado unatumia mbinu zilezile za wazi ambazo unajua piga uwa anazimudu?

Kama hujaishiwa mbinu ni nini hiki?
 
Back
Top Bottom