Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Lema na Lisu waliwahi kuja na kampeni kwamba wafuasi wao wasusie laini za voda,, na kweli wafuasi wajinga wakawa wanatuma vipicha eti wamevunja laini za voda.

Siku walipokamatwa hao kina Lema wakatoa namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni ujinga
 
Lema na Lisu wakiwahi kuja na kampeni kwamba wafuasi wao wasusie laini za voda,, na kweli wafuasi wajinga wakawa wanatuma vioicha eti wamevunja laini za voda.

Siku walipokamatwa hao kina Lema wakatoa namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni ujinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee! Nimechekaa
 
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.

Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.

Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
wanaosema hivyo baadhi hawako Tanzania, wakisusia sisi tunanunua tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu yani haikupita hata mwezi toka watangaze ile kampeni ila wakatoa laini zao za mtandao wa voda tena wanaandika kabisa tuma kwa m pesa namba hii.

Nikasema wafuasi wa chadema wanageuzwaga misukule kirahisi sana.
Hivi voda ilivyo sasa ndivyo ilikuwa miaka 5 iliyopita? Unajua voda imetengeneza hasara ya billion 60 mwaka Jana

Unafikiri ni kwanini wametengeneza hasara wakati

Airtel, Tigo na halotel wametengeneza faida?
 
Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Hili halitafanikiwa Mkuu.

Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
 
Na wewe unaamini wametengeneza hasara?

Na hata kama wametengeneza hasara ni kwa ajili ya uzembe wao.

Mfano mimi mwaka jana sikuweka salio kabisa sababu ya ughali wa vifurishi vyao.
 
Hili halitafanikiwa Mkuu.

Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
Subiri uone mamilioni ya raia wakubali kujinyima kununua huduma na vitu fulanifulani ili kuinyima serikali kodi, hapo ndo utajua mbinu ya economic boycott inafanya kazi au la!
 
Kwanza warudi bongo tupambane pamoja huyu LEMA kahamisha hadi house girl wake wanakaa sjui Canada mm hata Kula yangu siijui

Naipenda chadema ila kupelekeshwa sitaki warudi bongo tupambane pamoja kimtoa mkoloni mweusi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Voda unajua hali yake lakini kwa miaka 5 iliyopita.

Unajua mwaka Jana wametengeneza hasara ya 60 billions?

Kilichopi ni mpesa sio voda, voda ilishakufa kitambo sana .

Na mpesa wakicheza haya matozo inakufa nayo.
Hata kama sio sababu ya chadema
 
Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Wakati maskini tunawaza hivi matajiri wanawaza watatukamuaje hela! So mambo kwa ground ni different
 
Ukitafakari wafanya biashara wengi wanatokea upande upi wa TZ,na wenye hilo azimio wanatoka upande huohuo.Utagundua huo mpango ni mgum sana kuwezekana.
Kutarget mfanyabiashara mmoja mmoja ni njia mojawapo tu, lakini Mamilioni au maelfu wakiamua kujinyima kufanya manunuzi fulanifulani ili iwe ni boycot ya kiuchumi ndo utaona siku moja serikali inakusanya pesa za kushindwa kulipa hata mishahara, hapo ndo serikali itakapotia akili

Jeshi la polisi lina uwezo wa kuzuia mikusanyiko lakini kuna njia zaidi ya 100 za kuprotest na mbaya zaidi kuliko kuandamana
BOYCOTT ZA KIUCHUMI LAZIMA ZIILETE SERIKALI KWENYE MEZA YA MAZUNGUMZO!
 
Itakuwa poa sana maccm nao wakiamua kucheza hii game. Kama maccm hayataki kukaa meza moja kwa maridhiano ya kupata Katiba mpya basi sasa huu mgomo utakuwa na mafanikio makubwa sana kuliko hata maandamano maana inapiga pale pale hazina na kuathiri makusanyo ya mapato hata kama ni 20% kwa mwezi au mwaka hilo ni pigo TAKATIFU na MWAMKO ukiwa mkubwa zaidi basi hili genge la wahuni wa maccm litatia AKILI KICHWANI. Duh! Wabarikiwe sana waliokuja na dhana ya kutumia Twitter space kufanya hii mijadala muhimu sana kwa Taifa letu na hii idea ya kususia bidhaa mbali mbali nchini.

Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili

Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
 
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.

Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.

Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Hakuna wa kusifia mkuu usitishwe

sawa tu na yale maandamano ya mange
 
Back
Top Bottom