Robati
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 701
- 685
Boss wa Rayvann huyo unadhani atakuwa na akili ya mtazamo wa kiuchumi?Acha kupuuza Social Media Ndugu ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wa Rayvann huyo unadhani atakuwa na akili ya mtazamo wa kiuchumi?Acha kupuuza Social Media Ndugu ..
Hujanijibu swali langu hapo juu labda kama huna majibu useme.Mbowe na Chadema wanapambana na CCM si kwa kutumia nguvu ya raia bali kwa kutumia unafasi wa Chama chao.
Sijui umenielewa?
Na hili ndo lengo tetu haswaaaaaVuta picha na wa CCM wakifanya hivyo kwenu!
Kipi ni hatari zaidi: kugomea Katiba mpya au bidhaa! Tujifunze kuheshimiana.Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Kila la heri.wapenda demokrasia tutapunguza spending ili kuinyima serikali kodi mpaka pale serikali itakapokuja kwenye meza ya mazungumzo!
Mkuu hiyo app inaitwaje playstore??Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Mbowe na Chadema wanapambana na CCM si kwa kutumia nguvu ya raia bali kwa kutumia unafasi wa Chama chao.
Sijui umenielewa?
Mlango upo wazi kwa nini unaishi gerezani? Vipi ikiwa wewe umeshindwa kulielewa jawabu langu kwa kishindwa kuitumia tunu yako vizuri?Hujanijibu swali langu hapo juu labda kama huna majibu useme.
Hahaha..aiseee huwa nacheka sana ninapoona wanaharakati wa twiraaaa...hv hivyo vibint viwil..sijui sarungi na wenzake hawajaish maisha ya kitanzania halisi au? Hv wanazani watz wapo huko twitwangaaaa..ni wapuuzi sana nawaambia. Alaf hao chadema nao maisha yao yakojee..hawakai na watz halisi huko mitaani..hv mtu anatoka asubuh eti asusie beer..unajua utamu wa beer ww..etu sukar..yelewiii..alaf wanajadl upuuzi wakat watz asilimia 90 hawamo twiterNipo Space ya Maria Sarungi ambapo baadhi ya makada wa CHADEMA na Wanaharakati wanajenga hoja juu ya kususia bidhaa na huduma mbalimbali ili kuikosesha serikali mapato.
Wanaanza na kutoa historia ya Boycotting ambapo kwa wakati fulani, watu wa Uingereza walikuwa hawapendezwi na biashara ya Utumwa. Ili kuukomesha, wakaacha kutumia Sukari ambayo ilikuwa ikitengenezwa na Watumwa. Na hivyo ikasabisha kiwanda kufungwa kwa sababu bidhaa hazitoki.
Wanasema kuwa, jamii ya Watanzania wakipunguza matumizi ya bidhaa na huduma kama vile unywaji wa Bia, kupunguza matumizi ya sukari, maji ya kunywa, kupunguza miamala isiyo ya lazima na vyakula katika hoteli zilizosajiliwa.
Wanaamini kuwa kupunguza huko matumizi ya huduma na bidhaa itasababisha serikali kukosa kiasi kikubwa cha mapato.
Na kukosa huko mapato itasababisha serikali ishindwe kujiendesha kwa sababu mapato yamepungua. Na bila shaka, kutafuta namna ya kukaa na wadau na kuzungumza nao ili kuweza kutatua yaliyomo.
Wanaamini kuwa, njia hii ya kususia bidhaa na huduma 'Boycotting' itakuwa na ufanisi kwa sababu hakuna polisi watakaokuja kuwalazimisha watu watumie.
Wanaona kuwa njia hii ni ya amani na hivyo itawalazimisha serikali kurudi katika Misingi ya Utawala bora na kuleta uchocheo wa Katiba mpya.
Je, CHADEMA watafanikiwa kwa njia hii?
[emoji1787][emoji23][emoji1787]Kikao kikiongozwa na mwanamke, hatima yake hua ni kususa!
Suseni mazee
Sisi yetu macho.
Boss wa Rayvann huyo unadhani atakuwa na akili ya mtazamo wa kiuchumi?
Mlango upo wazi kwa nini unaishi gerezani? Vipi ikiwa wewe umeshindwa kulielewa jawabu langu kwa kishindwa kuitumia tunu yako vizuri?
Mkuu, hilo nalifahamu na kweli ulichokiandika ila kila jambo lina mahala pake.Maamuzi ya maccm hayawaumizi Chadema tu bali Watanzania wote nchini wasio na chama na walio na vyama tia akili kichwani. Wafanyakazi, Wafanyabishara, Wakulima, graduates wote wameathirika kwa namna moja au nyingine.
Mkuu, hilo nalifahamu na kweli ulichokiandika ila kila jambo lina mahala pake.
Kwa sasa tunazungumzia kadhia iliyobeba kichwa cha huu Uzi.