[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee! NimechekaaLema na Lisu wakiwahi kuja na kampeni kwamba wafuasi wao wasusie laini za voda,, na kweli wafuasi wajinga wakawa wanatuma vioicha eti wamevunja laini za voda.
Siku walipokamatwa hao kina Lema wakatoa namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ujinga
wanaosema hivyo baadhi hawako Tanzania, wakisusia sisi tunanunua tuKuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu yani haikupita hata mwezi toka watangaze ile kampeni ila wakatoa laini zao za mtandao wa voda tena wanaandika kabisa tuma kwa m pesa namba hii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee! Nimechekaa
Hivi voda ilivyo sasa ndivyo ilikuwa miaka 5 iliyopita? Unajua voda imetengeneza hasara ya billion 60 mwaka Jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu yani haikupita hata mwezi toka watangaze ile kampeni ila wakatoa laini zao za mtandao wa voda tena wanaandika kabisa tuma kwa m pesa namba hii.
Nikasema wafuasi wa chadema wanageuzwaga misukule kirahisi sana.
Mkuu ccm hawawezi kufanya hivyo maana wanajua madhara yakeTwende hivyo tuone nani ataumia
Tutanunua bidhaa za Bakhresa tu ambaye hafanyi siasa kwenye biashara zake.
Hili halitafanikiwa Mkuu.Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Na wewe unaamini wametengeneza hasara?Hivi voda ilivyo sasa ndivyo ilikuwa miaka 5 iliyopita? Unajua voda imetengeneza hasara ya billion 60 mwaka Jana
Unafikiri ni kwanini wametengeneza hasara wakati
Airtel, Tigo na halotel wametengeneza faida?
hayo ni amoni yako, na una haki ya kuwa nayo hata kama hayana maanaIla ukitafakari nje ya box utagundua kususa ni utoto.
HaupoHayupo wa kufanya huo ujinga
Subiri uone mamilioni ya raia wakubali kujinyima kununua huduma na vitu fulanifulani ili kuinyima serikali kodi, hapo ndo utajua mbinu ya economic boycott inafanya kazi au la!Hili halitafanikiwa Mkuu.
Labda niweke hili wazi! Chadema imeshapoteza mbinu/akili ya kupambana na CCM. MBOWE akili yake imesha staafu. Imma aombe watu wengine wamchoree mipango au atoke aruhusu akili nyengine iingie ifanye kazi. Kwa haya madrama mnayokwenda nayo yaani hamna kitu.
Hata kama sio sababu ya chademaVoda unajua hali yake lakini kwa miaka 5 iliyopita.
Unajua mwaka Jana wametengeneza hasara ya 60 billions?
Kilichopi ni mpesa sio voda, voda ilishakufa kitambo sana .
Na mpesa wakicheza haya matozo inakufa nayo.
Wakati maskini tunawaza hivi matajiri wanawaza watatukamuaje hela! So mambo kwa ground ni differentIkitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Kutarget mfanyabiashara mmoja mmoja ni njia mojawapo tu, lakini Mamilioni au maelfu wakiamua kujinyima kufanya manunuzi fulanifulani ili iwe ni boycot ya kiuchumi ndo utaona siku moja serikali inakusanya pesa za kushindwa kulipa hata mishahara, hapo ndo serikali itakapotia akiliUkitafakari wafanya biashara wengi wanatokea upande upi wa TZ,na wenye hilo azimio wanatoka upande huohuo.Utagundua huo mpango ni mgum sana kuwezekana.
Ikitokea hivyo hapo ndiyo safi maana itapiga pentagoni kiuchumi na italazimisha watawala watie akili
Maana wakishakosa hela za kuwalipa mishahara hao wabeba bunduki ndiyo akili zitawaingia vizuri zaidi
Hakuna wa kusifia mkuu usitishweKuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au kuupuza ila kama hatua hizi zitafanikiwa hata kwa 25% makusanyo yataporomoka sana.
View attachment 1877729
Kama nilivyosema Mkuu, kama kweli kuna watu Chadema wanaweza kuwa na mawazo kama haya, basi hawana akili wala uwezo wa kufikiri.Mkuu,
Tafadhali fuatilia mjadala huo Twitter. Sina haja ya kuongopa.
Fuatilia hapa: