Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

Kukosoa heading ambayo inatoa impression kwamba ili ku sign inter government agreement ni lazima uwe nchi, napenda kuandika yafuatayo.

Bila kusema lolote kuhusu uzuri au ubaya wa mkataba (ambapo nina mengi ya kuukosoa mkataba).

Mkuu,

Unafahamu kwamba hata Halmashauri ya Mji ni government?

Unafahamu local government nayo ni government?

Na unafahamu kwamba hata hizo local governments zinaweza kusign IGA?

Tunaelewa tofauti ya international na intergovernment?
Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
 
Nimeiuliza ChatGPT.

Dubai's Intergovernmental Agreements

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

ChatGPT

Yes, the government of Dubai, as part of the United Arab Emirates (UAE), has the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE is a sovereign state, and its individual emirates, including Dubai, have a level of autonomy in managing their affairs while also being part of the larger federation.

The UAE's federal government, located in Abu Dhabi, handles foreign relations on behalf of the country as a whole. However, individual emirates, such as Dubai, have their own governments that possess a certain degree of authority to negotiate and sign agreements within their specific areas of jurisdiction.

Dubai's government can enter into intergovernmental agreements with foreign countries in various fields, such as trade, investment, tourism, transportation, and cultural exchange. These agreements are typically designed to foster cooperation, facilitate bilateral relations, and promote mutual interests between Dubai and the foreign country involved.

Free Research Preview. ChatGPT may produce inaccurate information about people, places, or facts. ChatGPT May 24 Version

MkamaP
 
Ikishawekwa dola mezani akili zote zinaishia kaburini...unasaini tu ka zombi!
 
Inabidi waje waeleze kwanza uhalali wake wa dubai-mkoa ndani ya UAE kuitwa ni IGA. Huwezi ingia mkataba na mkoa na nchi ukaitwa IGA.
Hivi kwetu Zanzibar inaruhusiwa kuingia mkataba na nchi nyingine?
 
Kukosoa heading ambayo inatoa impression kwamba ili ku sign inter government agreement ni lazima uwe nchi, napenda kuandika yafuatayo.

Bila kusema lolote kuhusu uzuri au ubaya wa mkataba (ambapo nina mengi ya kuukosoa mkataba).

Mkuu,

Unafahamu kwamba hata Halmashauri ya Mji ni government?

Unafahamu local government nayo ni government?

Na unafahamu kwamba hata hizo local governments zinaweza kusign IGA?

Tunaelewa tofauti ya international na intergovernment?
Uvccm ktk ubora wako🤣🤣
 
Nimeiuliza ChatGPT.

Dubai's Intergovernmental Agreements

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

ChatGPT

Yes, the government of Dubai, as part of the United Arab Emirates (UAE), has the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE is a sovereign state, and its individual emirates, including Dubai, have a level of autonomy in managing their affairs while also being part of the larger federation.

The UAE's federal government, located in Abu Dhabi, handles foreign relations on behalf of the country as a whole. However, individual emirates, such as Dubai, have their own governments that possess a certain degree of authority to negotiate and sign agreements within their specific areas of jurisdiction.

Dubai's government can enter into intergovernmental agreements with foreign countries in various fields, such as trade, investment, tourism, transportation, and cultural exchange. These agreements are typically designed to foster cooperation, facilitate bilateral relations, and promote mutual interests between Dubai and the foreign country involved.

Free Research Preview. ChatGPT may produce inaccurate information about people, places, or facts. ChatGPT May 24 Version

MkamaP

Soma yote paragraph ya pili. Nime copy na ku paste swali ktk application hiyohiyo imenipa majibu tofauti, ambayo hapo chini. Hata hivyo , kama una facts zaidi kuhusiana na jambo hilo tupatie tujifunze zaidi.

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

While Dubai has a level of autonomy in certain areas, including economic policies and regulations, the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries lies with the federal government of the United Arab Emirates (UAE).
Dubai is one of the seven emirates that make up the UAE, and foreign affairs, including the negotiation and signing of international agreements, are handled by the federal government based in Abu Dhabi. The federal government represents the UAE as a whole and is responsible for conducting foreign relations and entering into agreements with foreign countries on behalf of all the emirates.
While Dubai may play a role in facilitating and participating in discussions related to specific agreements, the final authority and legal capacity to sign intergovernmental agreements rest with the federal government of the UAE.
 
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
is it true that the government of Dubai can sign an inter government agreement with foreign countries without federal government of UAE?

No, it is not accurate to state that the government of Dubai can sign intergovernmental agreements with foreign countries without the involvement or approval of the federal government of the United Arab Emirates (UAE).
The UAE operates as a federation, and matters of foreign policy and international relations are within the jurisdiction of the federal government, which is based in Abu Dhabi. The federal government represents the UAE as a whole on the international stage and has the authority to negotiate and sign intergovernmental agreements with foreign countries.
While Dubai, as one of the seven emirates of the UAE, has a level of autonomy in certain areas, including economic policies and regulations, the federal government retains the ultimate authority in matters of foreign affairs and international agreements. The federal government plays a crucial role in coordinating and managing the UAE's foreign relations, ensuring consistency and alignment across all emirates, including Dubai.
 
Kukosoa heading ambayo inatoa impression kwamba ili ku sign inter government agreement ni lazima uwe nchi, napenda kuandika yafuatayo.

Bila kusema lolote kuhusu uzuri au ubaya wa mkataba (ambapo nina mengi ya kuukosoa mkataba).

Mkuu,

Unafahamu kwamba hata Halmashauri ya Mji ni government?

Unafahamu local government nayo ni government?

Na unafahamu kwamba hata hizo local governments zinaweza kusign IGA?

Tunaelewa tofauti ya international na intergovernment?
Florida inaweza kusaini mkataba na Urusi au China wa kuendeleza bandari zake badala ya US Federal government?
 
Soma yote paragraph ya pili. Nime copy na ku paste swali ktk application hiyohiyo imenipa majibu tofauti, ambayo hapo chini. Hata hivyo , kama una facts zaidi kuhusiana na jambo hilo tupatie tujifunze zaidi.

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

While Dubai has a level of autonomy in certain areas, including economic policies and regulations, the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries lies with the federal government of the United Arab Emirates (UAE).
Dubai is one of the seven emirates that make up the UAE, and foreign affairs, including the negotiation and signing of international agreements, are handled by the federal government based in Abu Dhabi. The federal government represents the UAE as a whole and is responsible for conducting foreign relations and entering into agreements with foreign countries on behalf of all the emirates.
While Dubai may play a role in facilitating and participating in discussions related to specific agreements, the final authority and legal capacity to sign intergovernmental agreements rest with the federal government of the UAE.
ChatGPT imedata. Hili linaonesha kwamba hiki swali linahitaji nuance na halina majibu straightforward.

Hata kwetu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haina mamlaka ya kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kuna scenarios zinazoruhusu hilo na kuna mikataba ya kimataifa Zanzibar imeingia.

Nimeiuliza tena ChatGPT.

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

I apologize for the confusion in my previous response. As a correction, the government of Dubai does not have the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries independently.

In the United Arab Emirates (UAE), including Dubai, the federal government based in Abu Dhabi is responsible for conducting foreign relations on behalf of the entire country. The federal government represents the UAE in signing international treaties, agreements, and other diplomatic arrangements with foreign governments.

While Dubai has its own government and some level of autonomy in managing its local affairs, foreign policy matters and international agreements fall under the purview of the federal government. The UAE's federal government coordinates foreign relations and speaks for the country as a whole.

Therefore, any intergovernmental agreements involving foreign countries would be negotiated and signed by the UAE's federal government, with input and consultation from the government of Dubai and other emirates as necessary.
 
Mjinga mwingine ni huyu hapa. Anahitaji sana kuondolewa huo ujinga wake kichwani.

Dubai ni sehemu ya UAE yenye majimbo saba. Ni sawa ufanye biashara na Houston halafu mtu aseme Houston sio nchi wakati inajulikana ni jimbo mojawapo la USA.
Kwa taarifa tu ni kuwa hakuna jimbo la USA linaloruhusiwa kuingia mkataba na nchi yoyote.
 
Florida inaweza kusaini mkataba na Urusi au China wa kuendeleza bandari zake badala ya US Federal government?
Kwanza kabisa, post yangu awali kabisa imeeleza kukosoa dhana ya kwamba Dubai haiwezi kusaini IGA kwa sababu si nchi.

Serikali ya Florida, au hata ya mji wa Sarasota, inaweza kusaini IGA bila ya kuwa nchi.

Kwenye uwezo wa Dubai kusaini au kutosaini IGA na nchi nyingine, kuna utata, ni bira tujikite Dubai, tuachane na Florida, kwa sababu mfumo wa serikali wa Marekani ni tofauti na wa UAE.

Inawezekana Dubai ijo karibu na Zanzibar kuliko Florida.

US State

Can a United States state government sign an intergovernment agreement with a foreign country?

ChatGPT

No, a United States state government cannot sign an intergovernmental agreement with a foreign country independently. In the United States, foreign relations and international treaties are the domain of the federal government, specifically the President and the Department of State.

The federal government of the United States has the authority to negotiate and sign international agreements on behalf of the entire country. This includes treaties, trade agreements, and other diplomatic arrangements with foreign governments.

While states within the United States have a level of autonomy in managing their internal affairs, they do not have the constitutional authority to conduct foreign relations or enter into agreements with foreign countries. The federal government represents the United States as a whole in matters of foreign policy and international relations.

However, there may be instances where state governments engage in informal agreements or cooperative arrangements with foreign entities on specific issues such as trade, tourism, or cultural exchange. These arrangements are typically non-binding and do not have the status of formal intergovernmental agreements.

Zanzibar

Can the Zanzibar government sign an inter government agreement with a foreign country?

ChatGPT

The Zanzibar government, as a semi-autonomous region of Tanzania, has limited authority to sign certain types of agreements with foreign countries. Zanzibar operates under a unique governance structure within the United Republic of Tanzania, where it has its own government and legislature, known as the Revolutionary Government of Zanzibar.

While foreign policy matters, including the negotiation and signing of formal international treaties, are primarily handled by the central government of Tanzania, Zanzibar has some authority to enter into certain types of agreements with foreign countries within its limited jurisdiction.

Zanzibar's government can engage in agreements related to specific areas of governance that have been devolved to the region. These areas typically include local governance, cultural matters, tourism, investment promotion, and some economic cooperation. However, any agreements that impact the wider scope of the United Republic of Tanzania or involve matters of national security, defense, or foreign policy would require the involvement and approval of the central government.

In summary, while Zanzibar has some level of authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries within its limited jurisdiction, the central government of Tanzania ultimately represents the entire country in matters of foreign relations and international treaties.
 
Nimekuwekea Florida makusudi kwa sababu najua Marekani ndio nchi ambayo majimbo yake yanakaribia hadhi ya nchi kamili kabisa.
Ila pamoja na hayo mamlaka makubwa ya kujitegemea majimbo ya Marekani hayawezi kuingia katika IGA yoyote na nchi nyingine bila ridhaa ya Congress.
Kwanza kabisa, post yangu awali kabisa imeeleza kukisoa dhana ya kwamba Dubai haiwezi kusaini IGA kwa sababu si nchi.

Nimekupa mifano ya Florida, ambako serikali ya Florida haiwezi kuingia IGA na nchi ya kigeni, na Zanzibar, ambapo serikali ya Zanzibar inaweza kuingia IGA na nchi ya kigeni, kukuonesha kuwa hili suala si rahisi kama wengi mnavyotaka kuliweka, lina utata mwingi bado.

Inawezekana Dubai hawaruhusiwi kuingia mikataba ya kimataifa bila ruhusa ya UAE, sasa, tunajuaje kuwa ruhusa hiyo imepatikana au haijapatikana wakati hata mkataba wenyewe ni siri, tumeuona kwa kuvujishwa tu?

Mimi nafikiri kitu cha kuwekea focus ni mapungufu ya mkataba, hili suala la kama Dubai ina nguvu za kusaini au haina nguvu, kesho mkiambiwa kwamba UAE ilitoa ruhusa Dubai iingie mkataba, argument yenu yote inakuwa imekufa a natural death.
 
ChatGPT imedata. Hili linaonesha kwamba hiki swali linahitaji nuance na halina majibu straightforward.

Hata kwetu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haina mamlaka ya kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kuna scenarios zinazoruhusu hilo na kuna mikataba ya kimataifa Zanzibar imeingia.

Nimeiuliza tena ChatGPT.

Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?

I apologize for the confusion in my previous response. As a correction, the government of Dubai does not have the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries independently.

In the United Arab Emirates (UAE), including Dubai, the federal government based in Abu Dhabi is responsible for conducting foreign relations on behalf of the entire country. The federal government represents the UAE in signing international treaties, agreements, and other diplomatic arrangements with foreign governments.

While Dubai has its own government and some level of autonomy in managing its local affairs, foreign policy matters and international agreements fall under the purview of the federal government. The UAE's federal government coordinates foreign relations and speaks for the country as a whole.

Therefore, any intergovernmental agreements involving foreign countries would be negotiated and signed by the UAE's federal government, with input and consultation from the government of Dubai and other emirates as necessary.
 
Uvccm ktk ubora wako[emoji1787][emoji1787]
Moja ya matatizo makubwa ya Watanzania wengi ni kuwa na one track mind.

Yani wengi hatuna nuance.

Hatuwezi kujadili mambo complex bila kuweka duality.

Ukiweka hoja dhahania kwamba Dubai inaweza kusaini mikataba ya kimataifa, hata ukiweka disclaimer kwamba hukubaliani na mkataba na unaona mkataba una matatizo mengi, anakuja mtu asiyejua kusoma kwa ufahamu na kukuina wewe UVCCM.

I shit on all Tanzanian political parties like I got two tails, where have you been sleeping all these years?
 
Back
Top Bottom