Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujui makubaliano yao yakoje, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar huwa inasaini mikataba ya kimataifa kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kukubaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Wakishakubaliwa hawahitaji kuonesha kwenye mkataba kwamba wamekubaliwa, kwa sababu hilo ni suala kati ya SMZ na serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.Sasa hivi wamesaini mkataba na Wafaransa kama Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Wafaransa kuendeleza Bandari.Ingeipa mamlaka hua wanaandika kitu fulani kwa niaba ama mfano, ingekuwa UAE kisha pale chini yakawa Dubai.
Mfano:
United Republic of Tanzania
Local Government, Simiyu region.
Ila Hii unaona hata ile heading pale juu siyo UAE bali ni Dubai, kisha dubai anampa mtu mamlaka fulani kusaini. Haya ndo mambo yakutolea ufafanuzi kwa facts.
Uhalali wa Dubai kusaini ndo una establish uhalali wa mkataba, sasa utajua je kama kweli huo mkataba ni halali ama ni kundi la watu wachache kutumia brand ya DP world na Dubai ili kutupiga?
Hiyo point yako si material, ndiyo maana hata TLS hawajaitaja.