Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?