Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #41
Naye hapo angechemkaJe Angekuwepo Jiwe unahisi angetoa Kauli gani?
Ila hili angekuwepo Nyerere lazima kikao kingekuwa na habari ya kusikilizwa dunia nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye hapo angechemkaJe Angekuwepo Jiwe unahisi angetoa Kauli gani?
Ila hili angekuwepo Nyerere lazima kikao kingekuwa na habari ya kusikilizwa dunia nzima.
Aidha umesahau au unajisahaulisha kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la SADC. Hivyo ana sauti kubwa na ya kutosha sana kwenye suala hili...kikao kilikuwa cha Wakuu wa EAC na SADC.
..Mwenyekiti wa EAC ni Rais Ruto, na wa SADC ni Rais Mnangagwa.m
..Mama Abduli hakuwa na sauti katika kikao hicho.
Aidha umesahau au unajisahaulisha kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la SADC. Hivyo ana sauti kubwa na ya kutosha sana kwenye suala hili.
Labda kusema, “Welcome to Tanzania, please feel at home”!So hakuchangia kitu 😁
PK na saa100 ni usiku na mchanaNatamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Labda kusema, “Welcome to Tanzania, please feel at home”!
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Wewe 😄😄😄Nahisi huenda alisema hivi;
Haya yote mliyoyasema na mtakayoyasema marais wenzangu twendeni sasa tukayatekeleze!
Msimamo wa EAC-SADC uliegemea maoni ya 🇹🇿 💯💯Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
PK na saa100 ni usiku na mchana
Nahisi huenda alisema hivi;
Haya yote mliyoyasema na mtakayoyasema marais wenzangu twendeni sasa tukayatekeleze!
Alisema mother dead father dead - we don’t want to see further killings in DRC- Ruto is co chair… hayo ndiyo niliyosiki huko Mtandaoni - jokesNatamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Ww jamaa ukifa hauozi daaaah nimeipenda na uko sahihi kweli.Nahisi huenda alisema hivi;
Haya yote mliyoyasema na mtakayoyasema marais wenzangu twendeni sasa tukayatekeleze!
Haukuwa mkutano wake Bali wa EAC...Ni maneno ya jumla-jumla tu, wakati mazingira yalimhitaji atoe kauli thabiti kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC.
Mkuu wa EAC yeye kasema kusiwe na mipaka East Africa tuwe tunazurula kotę kotę. Kama watawala tunao khaaa..kikao kilikuwa cha Wakuu wa EAC na SADC.
..Mwenyekiti wa EAC ni Rais Ruto, na wa SADC ni Rais Mnangagwa.m
..Mama Abduli hakuwa na sauti katika kikao hicho.
Mmmmh wasap tenaHakuna kitu cha maana amesema.....warudi wakalitizame jinsi kupata suluhu....sasa angewatumia whatsapp tu??PK amekasirikaa ....kupotezewa muda