Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

Alipendelea angeona wasanii wa bongo movie singeli amapiano wakAta mauno wangekuwepo pale

Ova
 
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.

Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.

Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Kazi yake ilikuwa ni kuuleta hapa ili kukuza utalii hayo mengine tuwaachie M23
 
Halafu wanawaacha M23 wakitandika raia huko halafu wanakuja kula Bata Dar kwa kisingizio Cha mkutano. Bata wahed!
 
..hana uwezo wa kuzungumza jambo ambalo hajaandikiwa. Tukiwaambia uwezo wake ni mdogo mnakuwa wakali.
Kwani juzi kati wakati wa mjadala wa Nishati aliandikiwa na nani?

Mara ngapi Huwa Yuko kwenye mijadala ya wazi?

Unadhani huyo ni WA Thee thee kama mtu wenu aliyepita?
 
..kikao kilikuwa cha Wakuu wa EAC na SADC.

..Mwenyekiti wa EAC ni Rais Ruto, na wa SADC ni Rais Mnangagwa.m

..Mama Abduli hakuwa na sauti katika kikao hicho.
Mbona kimefanyika katikz nchi,anayoiongoza Dr.Samia,hawakwenda kufanya nchi nyingine,vionhozi wa nchi na viongozi wa,EAC na,SADC,xote wamemfuta Dr.Samia.Hii ni ishara ya kuwa,anakubalika kimataifa.
 
Lazima alisema na hili nendeni mkaliangalie.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hii mikutano inataka marais aina ya Mkapa na Nyerere, hao wengine woote waliofuata ni ujanja ujanja tu, hamna kitu kwa head!!!.
 
Mbona kimefanyika katikz nchi,anayoiongoza Dr.Samia,hawakwenda kufanya nchi nyingine,vionhozi wa nchi na viongozi wa,EAC na,SADC,xote wamemfuta Dr.Samia.Hii ni ishara ya kuwa,anakubalika kimataifa.

..kwasababu ana fedha lakini kuwaongoza wenzake hawezi.
 
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.

Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.

Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Kagame alikuwa anawacheck tu maana anajua zaidi ya nusu ya hao viongozi wako madarakani kwa njia za kihuni, ni bahati tu kwenye nchi zao hakuna machafuko. Lakini hakuna mwenye ujasiri wa kuhoji jambo la msingi zaidi ya kubembelezana.
 
Mbona kimefanyika katikz nchi,anayoiongoza Dr.Samia,hawakwenda kufanya nchi nyingine,vionhozi wa nchi na viongozi wa,EAC na,SADC,xote wamemfuta Dr.Samia.Hii ni ishara ya kuwa,anakubalika kimataifa.
Kuja Tanzania sio sababu hizo za kichawa bali ni bahati tu.
 
Back
Top Bottom