Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

..Ni maneno ya jumla-jumla tu, wakati mazingira yalimhitaji atoe kauli thabiti kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC.
Sasa unadhani yeye ataweza kuongea nini zaidi ya hapo?ndo uelewa wake hapo
 
Wewe na mtoa mada ni mbumbumbu wa mwisho.

Juzi hapo alikuwa anaongoza mjadala wa Nishati Africa na mara nyingi Huwa anakuwa Mwenyekiti mwenza Huwa humfuatilii?

Unadhani Samia ni wale wa Thee thee 😁😁
Ya kuandikiwa? Azungumze kutoka kichwani mambo ya maana siyo mipasho na taarabu.
 
Kwani mimi nimeandika nini wewe punguani?
Mbona umeshapaniki. Just relax dogo... Umekula lakini? Au nyie huwa mnasifu na kuabudu huku njaa inawagonga na ndo mnakuwa na hasira. Maraisi wenye kuongea sense walikuwa Nyerere na Mkapa tu.
 
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.

Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.

Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Kwa ile sauti yake ya upole... "Ndugu zangu, hayo ya DRC nendeni mkayaangalie na myamalize. Mimi nina mwaka wa uchaguzi yasije yakanitokea puani"

Jokes
 
Ya kuandikiwa? Azungumze kutoka kichwani mambo ya maana siyo mipasho na taarabu.
Kichwa kinawaza understomarch muda wote ataweza kubakiza ya maana kichwani?
Ni vile tu huwezi kumkana Rais wa nchi lakini wengi hawamkubali
 
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.

Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.

Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Mama,mama mama ,mama ccm wanasema hivyo
 
Back
Top Bottom