Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa hoja dhaifu namna hii, si ajabu.Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Alichangia nini hicho ndo watanzania tunataka kujua..kikao kilikuwa cha Wakuu wa EAC na SADC.
..Mwenyekiti wa EAC ni Rais Ruto, na wa SADC ni Rais Mnangagwa.m
..Mama Abduli hakuwa na sauti katika kikao hicho.
Rais inatakiwa aandikiwe lakin kwenye kuwakilisha hutakiw kutumbulia macho karatas kila wakatAmezoea kuandikiwa cha kuongea, Yawezekana shida ndo iliazia hapo. 🙂🙂🙂
Mbaya zaidi na anautaka na muhura wa pili ila kuna binadamu wa jinsia ke wajasiri haswa nazan huyu anaweza kuwa namba mojaimagine hii nchi eti inaongozwa na mama Abduli ambae hakuna raia hata mmoja alomchagua kuwa apo
Alinyamazishwa? Au alikuwa ndugu msikilizaji?..kikao kilikuwa cha Wakuu wa EAC na SADC.
..Mwenyekiti wa EAC ni Rais Ruto, na wa SADC ni Rais Mnangagwa.m
..Mama Abduli hakuwa na sauti katika kikao hicho.
Nachokoza mada. Ukitaka cha uvunguni sharti uiname. Sasa ndo nataka watu wapate cha uvunguniWewe ndiye ulisema una habari zote za ndani ya kikao cha jana.
Ujinga wako usiwe mzigo kwa watu wengine. Shule ulipuuza mwenyewe. Nenda youtube kasikilize.Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces. Uzuri na lugha ilikuwa inapanda vizuri.
Kwa sasa tunaye samia. Je alichangia nini rais wetu huyu wa mitano tena. Au yeye hakutaka makuu.alinyamaza tu?
Mtu amejiita chizi unategemea nini, ameshasahau km alisema hivyo. Majina huumbaWewe ndiye ulisema una habari zote za ndani ya kikao cha jana.