Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Kwa hiyo roho za akina Ben saa 8 nk hazikuwa na thamani kwake
Sijui kama ulisoma hii sentensi yangu mstari wa mwisho.
"Kuna watu kutokana na kazi na misismamo yao wanakuwa hatarini sana wakati wowote. "

Mimi hapa sijamzungumzia Ben, nimemzungumzia mtu ambae ana dhamana ya kuongoza watu zaidi ya milioni 50, ndio maana kapewa ulinzi wa kiasi kile.

Hivi kuna alie sema roho ya Ben au mtu yeyote haina thamani?
Kwani Ben amekata roho?
Wewe umejuaje?
Kwanini haujaenda kutoa taarifa na ushahidi wako polisi kama una taarifa za uhakika Ben kakata roho?

Fanya haraka katoe taarifa kituo cha polisi cha karibu yako. Hizo taarifa muhimu sana.
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Mkuu msome tena mtoa mada,huyo rais wako amejipambanua kwamba yeye ni rais wa wanyonge,yaani hawa wanyonge wanaopambana kupata wali maharage au ugari maharage kujaza tumbo zao.Rais wa wanyonge hategemewi kuwa na msafara wa aina hiyo,msafara unaoteketeza mamilioni ya shilingi kwa safari moja
 
km ni leo asubuhi umedanganya. hizo ni CHEVROLET na sio hapa Nchini
V8 Kilimo kwanza ni zile za picha ya chini
QUOTE="Fair, post: 34674921, member: 502129"]
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
1584368476251.png

[/QUOTE]
1584368214870.png
 
Hivi kuna alie sema roho ya Ben au mtu yeyote haina thamani?
Kwani Ben amekata roho?

Fanya haraka katoe taarifa kituo cha polisi cha karibu yako. Hizo taarifa muhimu sana.
Kama wapo Watanzania wengi walio na mawazo kama wewe Titicomb, basi hatuna nchi...tuna pori tu lililojaa viumbe vya ajabu visivyo na genes za ubinadamu. Heri hata Wanyama wakitambua wako hatarini hutimua mbio kujiokoa, lakini nyie viumbe mnakumbatia hatari iliyo mbele yenu huku mkichekelea na kupiga vigeleele. Laiti mngekuwa na akili kama binadamu wengine...
 
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa kuunga mkono kila kitu, huyo ndio rais wa wanyonge ???, gari hizo ni mpya, haiwezekani gari zikaharibika zaidi ya mbili. Mkuu, ilitakiwa gari moja tu na standby moja tu, lolote lipi linaloweza kutokea, akipata hitilafu si anapanda hata mabasi ya abiria kwani yeye ni nani hasa, hiyo ni kuongeza umaskini wa nchi hii, na kwasababu ya uoovu wake hana uhakika kabisa ya usalama wa popote aendako, anahisi na kuhofia hata kivuli chake, kama mimi naweza kutoka shinyanga mpaka dar na gari moja tu, yeye anashindwaje ?!!, na gari yangu sio mpya !!, muwe mnakubali mnapokosolewa, halafu mnataka wananchi tuchangie hela zetu tulizozipata kwa jasho eti kujengea madarasa ya shule za serikali ambazo hatuna umiliki wake, kwa matumizi hayo !!
 
Kama wapo Watanzania wengi walio na mawazo kama wewe Titicomb, basi hatuna nchi...tuna pori tu lililojaa viumbe vya ajabu visivyo na genes za ubinadamu. Heri hata Wanyama wakitambua wako hatarini hutimua mbio kujiokoa, lakini nyie viumbe mnakumbatia hatari iliyo mbele yenu huku mkichekelea na kupiga vigeleele. Laiti mngekuwa na akili kama binadamu wengine...
Mkuu pole sana.
Hakuna anae furahia mabaya ya aina yoyote yampate mwenzie.

Huyo jamaa yeye kaingizia habari za Ben wakati mimi nimezungumzia kwanini Raisi wa nchi analindwa sana, ana msafara mkubwa wa magari ya kiitifaki.
yeye kaamua kwa makusudi kuhamisha mada kwa Raisi na kuifanya inayo husu Ben.

Kwani katika majibu yangu au maswali au maelezo ya mada kuu (thread) kuna mahali tumegusia kuhusu Ben?
Ni kama atajaribu kumhusisha kila mtu na lolote liliomtokea Ben, kwa hakika mimi sijui kama Ben roho yake imefanya nini,labda wewe unajua 100% pasi na shaka yupo wapi, nijulishe mkuu wangu.
 
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.

Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?

Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...

So tusishangae sana.

Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Hayo ndio matumizi mabaya ya madaraka, nijuavyo mimi, hao wanaoenda kushiriki lolote analokwenda kufanya wanatakiwa watangulie, sio lazima sana kubanana nae kama kumbikumbi,
 
PIA;;
inaonesha mheshmiwa hana imani kabisa na akina MUSHI (wachagga) mana kuna mmama kalalamika kudhurumiwa huko vikoba na m.kiti ambaye jna lake n mushi ndo kasepa na hzo pesa
HAKIKA HII NCHI NI TAJIRIII.
KUNJA NGUMI[emoji110],JIPIGE KIFUA SEMA SISI NI NCHI TAJIRI.[emoji28]
ukisema ni kina Mushi na Masawe tu ni kumuonea na kumsingizia Rais wako
hivi kuna mtu jirani na ndugu km Rugemalila wanatoka kijiji kimoja, kuna Mwandishi kafiwa na mama yake yupo jela wanatoka Wilaya moja juzi kalipa faini, kesi ngapi kapitia, za Meli ya samaki, machimbo ya Mirerani, kabana Makonteina. Malori sasa hayana deal halafu kumwita Mbatia Ikulu, kumpa Lyatonga PAROLE
vyote hivyo asiwekewe ulinzi wakati Diamond , Harmonise, Wema wana mabodyguard sembuse Rais
lipa kodi ujanja ujanja no tajiri naye aione Nchi ya wote
 
Sijui kama ulisoma hii sentensi yangu mstari wa mwisho.
"Kuna watu kutokana na kazi na misismamo yao wanakuwa hatarini sana wakati wowote. "

Mimi hapa sijamzungumzia Ben, nimemzungumzia mtu ambae ana dhamana ya kuongoza watu zaidi ya milioni 50, ndio maana kapewa ulinzi wa kiasi kile.

Hivi kuna alie sema roho ya Ben au mtu yeyote haina thamani?
Kwani Ben amekata roho?
Wewe umejuaje?
Kwanini haujaenda kutoa taarifa na ushahidi wako polisi kama una taarifa za uhakika Ben kakata roho?

Fanya haraka katoe taarifa kituo cha polisi cha karibu yako. Hizo taarifa muhimu sana.
Mkuu kama wewe unajua alipo Ben utufahamishe
 
Raisi ni Raisi tuu , huwez kuwa Sawa na raisi , ni halali yake sababu za kiusalama

IMG_9360.JPG


CONVOY YA TRUMP INA GARI 14 tu, AFRICA KUNA MAAJABU SANA 🤣🤣🤣🤣



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hayo ndio matumizi mabaya ya madaraka, nijuavyo mimi, hao wanaoenda kushiriki lolote analokwenda kufanya wanatakiwa watangulie, sio lazima sana kubanana nae kama kumbikumbi,
Mkuu hizi ni protocol zako wewe za ulinzi wa Raisi.
Na sio kila Raisi zinafanana protocol (itifaki) za ulinzi wake.
Mambo hubadilika kulingana na wakati, teknolojia na taarifa za kiintelijensia za wakati husika.

Hivyo usikariri mkuu.
 
View attachment 1390212

CONVOY YA TRUMP INA GARI 14 tu, AFRICA KUNA MAAJABU SANA 🤣🤣🤣🤣



Sent from my iPhone using JamiiForums
Mleta mada ni muongo, msafara wa raisi haukuwa na gari 54.
Picha aliyoweka sio gari za Toyota V8 zilizotumika msafara wa Mh.raisi Magufuli.

Usiamini kila kitu unachowekewa mitandaoni, humu propaganda nyingi.
Fake news nyingi kuliko real news.
 
Mleta mada ni muhongo, msafara wa raisi haukuwa na gari 54.
Picha aliyoweka sio gari za Toyota V8 zilizotumika msafara wa Mh.raisi Magufuli.

Usiamini kila kitu unachowekewa mitandaoni, humu propaganda nyingi.
Fake news nyingi kuliko real news.
“muhongo” ndio mnyama gani?. Kuthibitisha usemi wako kanusha kwa taarifa yako sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio matumizi mabaya ya madaraka, nijuavyo mimi, hao wanaoenda kushiriki lolote analokwenda kufanya wanatakiwa watangulie, sio lazima sana kubanana nae kama kumbikumbi,
Kwani wakitangulia wanakuwa wanaenda kwa miguu?
Au wakitangulia wanakuwa hawaendikabisa?
 
Katika hali ya kuonesha wanannchi wameshamchoka rais wa wanyonge, leo asubuhi wamesikika wakilalamika vikali kwenye daladala baada ya kulazmika kusubiri muda mrefu barabarani kupisha msafara wa rais aliyekuwa akitoka Dar kuelekea Dodoma. Kilichowaudhi sana wanachi waliokuwa wakiwahi kwenye shughuli zao za kila siku sio kulazimika kupisha msafara wa rais kwa sababu hili ni jambo la kawaida; bali ni kitendo cha rais Magufuli kusimama mara kwa mara kila kituo, mfano amesimama ubungo, akasimama Mbezi, Kibaha Mlandizi, n.k hali iliyofanya magari kusubiri kwa muda mrefu wkati yeye akizungumza na wanachi.

Mwananchi mmoja alisikika akisema, "rais wetu ni mbinafsi sana, haoni magari yansubiri zaidi ya saa nzima kumsubiri yeye apite? kwa nini asipite atuache sisi wengine nasi tuwahi kazini?" Mwingine alilalamika, "kwani rais atoke muda huu ambao ni peak hours?kwa nini asitoke walao wakati ambao harakati za barabarani ni chache?" Au kwa nini asitumie helikopta au ndege ili kuonesha kweli kutujali wananchi tunaowahi makazini? Anasimama kila mahali barabarani bial ulazima, kwa nini hawajali kwamba kuna sisi wengine tunawahi hospitalini!

Haya ni malalmiko ya kweli ya wanchi leo asubuhi tulipokwama kwenye foleni kuupisha msafara wa mheshimiwa rais, kipenzi cha wanyonge JPM. Mjumbe hauwawi!
 
Back
Top Bottom