kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
Ukiona msafara mkubwa ujuwe kunanwatu wengi wameotwa kujibu maswali ya kiuwajibikaji
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050