JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Hoja ni unajiitaje Rais wa wanyonge ilihali unaishi kifahari? Kwani yeye ndo Rais wa kwanza kwa Nchi hii? Hatukuona haya huko nyuma, Rais kuongozana hadi na vifalu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi ni Raisi tuu , huwez kuwa Sawa na raisi , ni halali yake sababu za kiusalama
Sent using Jamii Forums mobile app