Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Mtoa mada acha ubwege wewe....Rais magufuli mwaka wa nne huu hata ubelgiji haijui inafananaje,unadhani ameokoa kiasi gani mpaka sasa kutokwenda huko na convoy yake?

Sasa shida iko wapi kiasi cha gharama hizo alijiimarishia ulinzi wake hapa nchini ikiwa maadui ni wengi na anaingia mpaka maporini yeye mwenyewe kufanya survey.

Hii jamii forum ifike kipindi ifanye scanning ya members wake aisee watu wanafikilia upande mmoja wa shilingi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na heshima dogo, maana nimejaribu kufuatilia nikagundua kuwa kuna uwezekano mkubwa ukawa chini ya himaya yangu na siku hiyo ndiyo utaomba ardhi ipasuke

In God we Trust
Hahaha! Hiyo himaya umetoa wapi? Wewe ishia kujiita mmawia tuu basi. Kama una himaya ba si mimi ndiye emperor.
 
Isije siku ukaona aibu wakati nakutuma, sijui utajisikiaje
Hahaha! Hiyo himaya umetoa wapi? Wewe ishia kujiita mmawia tuu basi. Kama una himaya ba si mimi ndiye emperor.

In God we Trust
 
Hao maadui wanatoka wapi wakati hii nchi ni kisiwa cha amani?
Mtoa mada acha ubwege wewe....Rais magufuli mwaka wa nne huu hata ubelgiji haijui inafananaje,unadhani ameokoa kiasi gani mpaka sasa kutokwenda huko na convoy yake?

Sasa shida iko wapi kiasi cha gharama hizo alijiimarishia ulinzi wake hapa nchini ikiwa maadui ni wengi na anaingia mpaka maporini yeye mwenyewe kufanya survey.

Hii jamii forum ifike kipindi ifanye scanning ya members wake aisee watu wanafikilia upande mmoja wa shilingi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Hajawa praise and worship team. Akili anayo hadi akawa maarufu. Wewe umebaki mudawote mpumbavu kusifu na kuabudu. Dharau jidharau mwenyewe mwache Mshana wetu. Dharau zako haziwezi kushusha umaarufu wake. Hata kusujudu sujudu tu. Unaweza au kuwaza nini zaidi ya upumbavu mudawote?
 
Hivi mkuu, katika hali ya kawaida msafara wa Rais wa Tanzania unaweza kutisha dunia nzima?? Mleta mada amefikiaje hilo hitimisho. Ushahidi wa hilo hitimisho ni upi?? Unless na wewe unaakili kama za mleta mada utaona post yake ipo sahihi.
Ungemwambia tu kuwa ana akili kama ccm lingekuwa tusi kubwa sana kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last Warning Kwa
Chief Executive Wa TANROAD
Waziri Wa Ujenzi
Sasa Ikitokea Barabara Haipitiki
Ujihesabu Huna Kazi Siku Hiyo Hiyo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Una akili ndogo sana, kwenye comment yake wapi kamtaja mkuu? Hiyo ni tafsiri yako binafsi na umeonyesha chuki ya wazi juu ya umaarufu wake. Siamini kuwa ukiwa ccm ndiyo uwe mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa
Mbona hujikiti kwenye hoja, badalanyake unakuwa mtu wa kutukanantu kama mwanamke aliyeachwa na bwana wakati bado anapenda. Matusi hayafai humu, leta hoja zako watu wapime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisimama Mlandizi kwenye BUS STAND iliyohamishwa kibabe.... ameamrisha stand irudi ilipokuwa.... STAND IMERUDI....
Fahari ndie mama wa ujinga.. Nimeukumbuka wimbo wa kimanyema wa GERE MAMA

Jr[emoji769]
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Kwenye ayo magali kuna watu wengi mno na kila mtu ana kaz zake na wapambe pia wamo umo pesa ni kila kitu kwa maisha ya sasa
Kuna walinzi umo.wanahabari.camera man .madaktari .waganga.washauri.wakalimali
Etc na magar mengine hubeba vifaa km silaha nzito mabomu risasi mizinga mashine gun ili pakinuka wakinukishe kuna gar lengine hubeba nguo na vitu vya kutumia kuna gar apo huwa lina choo na kuna gar huwa linabeba msosi kwa ajili ua rais na msafara kuna gar linabeba vifaa vya waganga ili uko waendako km kuna wachawi wakikinukisha na wao wakinukishe kuna mpaka mashehe humo ya ni balaa tupu na ata akiamua akiamua anaweza tenga gar special kwa mademu ma pia kuna mda rais huwa anabadilishwa gari naomba niishie apo
 
kaka umeua 🤣 🤣🤣🤣😃
 
Jk alipunguza nakumbuka wakati wa Ben msafara magari 50 waziri mkuu sikujua mzee Ben mwenyewe
 
Jk alipunguza nakumbuka wakati wa Ben msafara magari 50 waziri mkuu sikujua mzee Ben mwenyewe
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Ukichukulia kuwa kila gari ni la mtu mwingine hutopata tabu maana barabarani yanapita magari kwamaelfu yakifuatana japo kilamtu na shughuli yake.
Hakuna ubaya magari hayo hayamsindikizi tuu bure kila aliyemo anafuatilia kazi!! Tatizo ukikosa ela kilakitu ni tatizo unaeza mlaumu mkeo wowowo linataka kukuvunjia chaga wakati ndiyo ulilitamani kabla yavyote...vumilia tuu nanii!!
 
Back
Top Bottom