Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
shida ipo wapi! mengine wapo wazee wa kamati za ufundi.Rais sio mtu ni Taasisi kwahyo hapo ni Taasisi nzima na vizimba vyote
 
Tuwekee picha bas tuone hzo gar 50! Maana ninachojua JK ndo akiongoza kwa msafara mrefu ila huyu mzee gar zimezidi kwake 7.
Basi wewe sio mfuatiliaji atii nn...hamna rais tz alieshakuwa na motorcade kubwa Kama huyu maana anatembea na idadi kubwa ya walinzi na magari ya mitambo...miaka ya zamani Marais walikuwa simple Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na heshima dogo, maana nimejaribu kufuatilia nikagundua kuwa kuna uwezekano mkubwa ukawa chini ya himaya yangu na siku hiyo ndiyo utaomba ardhi ipasuke
Corona itaathiri ninyi mliodhoofika kiafya.

In God we Trust
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Hah kumbe 53 tu! Du rais wetu kweli ni mchumi kweli! Na ktk hizo 53 kuna viongozi wote waandamizi kwa ajili ya kujibu wanapohitajika kutoa majibu! Tumpate wapi rais mnyenyekevu na mchapakazi, na mwaminifu kama huyu! Mungu azidi kumtunza!
 
Hatuna magari ya aina hii uliyoweka hapa acha umbea. By the way, matumizi ya mafuta ya gari aina ya Toyota Landcruiser 1VD- FTV 200 ambayo unaita V8 hayatofautiani na yale ya 1HZ na 1KD yako sawa sawa?
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom