Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Haya mambo wakati mwingine tuyaache.Kuna wenye fani zao lakini bahati mbaya hawawezi kuingia JF.Pili huyu ni Rais si mkulima wa vitunguu wa Lumuma Mpwapwa.
Kweli kabisa...ila Mwinyi na Nyerere sijui walikwama wapi kutokua na walinzi,wanajeshi,magari nk kuliko huyu JPM?
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050

Hiyo ni kampeni, kwani baadhi ya watanzania wenye uwelewa mfivyu, hiyo taswira kisaikolojia inaweza wafanya wampe kura.
 
Kweli kabisa...ila Mwinyi na Nyerere sijui walikwama wapi kutokua na walinzi,wanajeshi,magari nk kuliko huyu JPM?
Nyakati zimebadilika.Ingawa nina hofu kuu kwa mfano zile bunduki zinazomzunguka akitokea chizi akirusha jiwe zitalenga wapi?
 
Nyakati zimebadilika.Ingawa nina hofu kuu kwa mfano zile bunduki zinazomzunguka akitokea chizi akirusha jiwe zitalenga wapi?
Kipi kimebalika tena mkuu..au hisia ndiyo zimebadilika?
 
Salaam zake toka Kuruzinza.....!!!
Siku moja nipo zangu bustanini nikakuta helcopta mbili zinapita juu utosini alimanusura nitupe jembe,nikampigia jamaa yangu kumwuliza ndo kuniambia ni msafara jiwe mtetezi wa wanyonge anaenda kuzindua barabara ambayo kimsingi ilishaanza kutumika 2017 huko duhhh
 
Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??

Mkuu hangaika na yanayokuhusu, waliopanga wanaelewa kwa nini iko hivyo.
Pambana na hali zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…