Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
We poyoyo umeandika uchafu tuSijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.
Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].
Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.
Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.
Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.
Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.
Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!
Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.
Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.
Sifa kem kem toka kila pande 🤣.
Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.
Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.
Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.
Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.
Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..
Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?
Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.
Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
Na ukachukua muda wako na kuusoma na kuunukuu huo uchafu!We poyoyo umeandika uchafu tu
Huu ulioandika wewe ni utokoWe poyoyo umeandika uchafu tu
Tena uliochacha kabisa.Huu ulioandika wewe ni utoko
kila zama na kitabu chake gentleman, hakuna haja ya kubabaika na dhana za hadithi maisha ya mtu mwingine ambae hayupo duniania🐒Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.
Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].
Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.
Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.
Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.
Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.
Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!
Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.
Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.
Sifa kem kem toka kila pande 🤣.
Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.
Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.
Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.
Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.
Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..
Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?
Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.
Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
Sasa hivi ni zama za nini? Utekwaji?kila zama na kitabu chake gentleman, hakuna haja ya kubabaika na dhana za hadithi maisha ya mtu mwingine ambae hayupo duniania🐒
Even if, but it's still NonsenseAnd you read it!
Typical Bantu logic 🤣.
Shida ya Magufuli, yeye kama mwenyekiti wa ccm, alikataa kabisa upinzani “wasipewe” hata jimbo moja kwenye uchaguzi mkuu. Hilo aliliweka wazi. Na nimetumia neno “wasipewe” Kwasababu hata majimbo waliyokuwa wakishinda wapinzani siyo kwasababu ya uchaguzi kuwa huru.Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.
Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].
Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.
Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.
Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.
Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.
Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!
Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.
Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.
Sifa kem kem toka kila pande 🤣.
Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.
Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.
Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.
Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.
Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..
Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?
Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.
Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
Sukuma gang never left the arena, and the laughters Bado zinaendelea na ni Kwa zamu hadi 2030Sijui hata inaandikwaje.

You care enough.Even if, but it's still Nonsense
Watu walianza kutekwa na kupigwa kipindi cha Magufuli tu?Shida ya Magufuli, yeye kama mwenyekiti wa ccm, alikataa kabisa upinzani “wasipewe” hata jimbo moja kwenye uchaguzi mkuu. Hilo aliliweka wazi. Na nimetumia neno “wasipewe” Kwasababu hata majimbo waliyokuwa wakishinda wapinzani siyo kwasababu ya uchaguzi kuwa huru.
Sasa hapo kwanini mwenye makosa iwe ccm peke yake?
Mengi sana yanayoendelea sasa hivi ni “copycats” kutoka kwenye utawala wake.
Mama akitaka afanye kama mtangulizi wake.
Kwenye hilo ameweza kufanya na kupitiliza zaidi yake.
Kajitoa ufahamu huyoWatu walianza kutekwa na kupigwa kipindi cha Magufuli tu?
Do you see any sense coming from the critter?Na ukachukua muda wako na kuusoma na kuunukuu huo uchafu!
Make it make sense 🤣.
Sukuma gang ilipoozwa na uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu.Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.
Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].
Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.
Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.
Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.
Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.
Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!
Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.
Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.
Sifa kem kem toka kila pande 🤣.
Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.
Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.
Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.
Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.
Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..
Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?
Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.
Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
Watz tuamke. Kwa Gwajima ile ni campaign, ndo imeanza. Hakupeleka watu Birmingham. Hakupeleka watu Japani. Hakuanzisha vyuo. All his promises were fake. Kaibuka na utetezi wa wanaotekwa kutafuta huruma ya wananchi! Kwa sasa ndo point inalipa.Sukuma gang never, and the laughters Bado zinaendelea na ni Kwa zamu hadi 2030
ILA tumle maua yake Gwajima…. Ameongea vizuri sana
Mkuu sema ukweli kwa mantiki ya hoja ya Askofu Gwajima kada na mneki wa chama tawala, je wewe na wasiojulikana nani anakutumeni???kila zama na kitabu chake gentleman, hakuna haja ya kubabaika na dhana za hadithi maisha ya mtu mwingine ambae hayupo duniania🐒