Huu msamiati umetoweka kabisa katika midomo ya watu. Mliambiwa lakini hamkusikia!

Watu walianza kutekwa na kupigwa kipindi cha Magufuli tu?
Vilikuwepo lakini siyo kwa kiasi kikubwa kama Magu alipoingia madarakani. Waliopita walifanya kinafiki kwasababu hawakutaka kupoteza misaada ya wafadhili na kutengwa na jumuiya ya kimataifa. Ndiyo maana wakawa “wanatoa” baadhi ya majimbo ili kuweza kufikia ile “quota” inayohitajika bungeni na mataifa wafadhili. Ambapo pia kuna kamati za bunge zinazotakiwa kuongozwa na upinzani nk

Hapo Magu yeye hakujali maana aliamini kwamba tunaweza kuishi bila hiyo misaada. Tena alisema sisi ni “donor country”

Baadaye alipokuja kugundua amepotoka, aliwachuuwa wale “COVID-19”, kina Mdee na sijui wake za viongozi walioenda chauma, ili kuweza “kufunika kombe mwanaharamu apite”

So he went to the extreme.

Awamu zilizopita haswa JK na yeye pia yalitokea, lakini siyo kwa ile kasi ambapo alitaka kufuta upinzani.

Maandamano Magu alipiga marufuku, uhuru wa kujieleza ukapigwa marufuku.

Kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, tukashuhudia hofu kubwa na utawala wa kidikteta.

Huyu wa sasa amefanya na kupitiliza. Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama Magu tu. Sema huyu katili zaidi.

Na tofauti take huyu na Magu, ni kwamba Magu alikuwa mzalendo na huyu ameleta uharibifu ambao hata akija kuondoka, madhara yake yataonekana generations to come.

Ni kama vile hana mapenzi ya dhati kwa Taifa hili.

Magufuli did it in the name of patriotism and a love for the country. Where as the current one is doing it for the clique.
 
Vilikuwepo lakini siyo kwa kiasi kikubwa kama Magu alipoingia madarakani. Waliopita walifanya kinafiki kwasababu hawakutaka kupoteza misaada ya wafadhili na kutengwa na kimya ya kimataifa. Ndiyo maana wakawa “wanatoa” baadhi ya majimbo ili kuweza kufikia ile “quota” inayojitajika bungeni na mataifa wafadhili.

Hapo Magu yeye hakujali maana aliamini kwamba tunaweza kuishi bila hiyo misaada. Tena alisema sisi ni “donor country”

Baadaye alipokuja kugundua amepotoka, aliwachuuwa wale “COVID-19”, kina Mdee na sijui wake za viongozi walioenda chauma, ili kuweza “kufunika kombe mwanaharamu apite”

So he went to the extreme.

Awamu zilizopita haswa JK na yeye pia yalitokea, lakini siyo kwa ile kasi ambapo alitaka kufuta upinzani.

Maandamano alipiga marufuku, uhuru wa kujieleza ukapigwa marufuku.

Kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, tukashuhudia hofu kubwa na utawala wa kidikteta.

Huyu wa sasa amefanya na kupitiliza. Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama Magu tu. Sema huyu katili zaidi.

Na tofauti take huyu na Magu, ni kwamba Magu alikuwa mzalendo na huyu ameleta uharibifu ambao hata akija kuondoka, madhara yake yataonekana generations to come.

Ni kama vile hana mapenzi ya dhati kwa Taifa hili.

Magufuli did it in the name of patriotism and a love for the country. Where as the current one is doing it for the clique.
Hebu tujadili kwa taarifa za ukweli na si ubashiri wala hisia.

Kipindi cha Magufuli ni watu wangapi waliotekwa na kupigwa ukilinganisha na tawala/ awamu zingine?
 
Mkuu wangu vingi vinafahamika huku kitaa tuu wengi sana hakuna aliyekuwa anathubutu kupanua mdomo.

Wengi sana wanafahamika huku kitaa na hakuna mtu wala media yoyote ile iliyothubutu kuripoti.

Ninayo mifano hai.
 
Haya bana.

Ila bila takwimu itakuwa vigumu kuona/ kujadili ni utawala upi hasa hayo mambo yalikuwa mengi.
 
Ishu ya kutekana Tanzania ni ya kishamba sana na wanajua raia wao wengi hawana siraha ila ipo siku watayakanyaga tu na itakua historia naamini hivyo..
 
Hao waliopo madarakani wanaposhindwa kudhibiti na kukemea hayo matukio wanastahili lawama .
 
Hebu tujadili kwa taarifa za ukweli na si ubashiri wala hisia.

Kipindi cha Magufuli ni watu wangapi waliotekwa na kupigwa ukilinganisha na tawala/ awamu zingine?
Roma Mkatoliki
Mo
Azory Gwanda
Ben Saanane
Simon Kanguye
Elia Michael
Abdul Nondo
Jusa Ismail Jusa
Tundu Lissu
 
Shida ya Magufuli, yeye kama mwenyekiti wa ccm, alikataa kabisa upinzani “wasipewe” hata jimbo moja kwenye uchaguzi mkuu. Hilo aliliweka wazi. Na nimetumia neno “wasipewe” Kwasababu hata majimbo waliyokuwa wakishinda wapinzani siyo kwasababu ya uchaguzi kuwa huru.

Sasa hapo kwanini mwenye makosa iwe ccm peke yake?

Mengi sana yanayoendelea sasa hivi ni “copycats” kutoka kwenye utawala wake.

Mama akitaka afanye kama mtangulizi wake ili kuweza kudhibiti “dissents”

Kwenye hilo ameweza kufanya na kupitiliza zaidi yake.

Happy Memorial Day weekend to you as well.
Sasa kama mama amepitiliza zaidi, inakuaje kosa n la JPM? Huoni hapo kuna kitu kinawafanya wote kuwa hvy na sio wao tuu
 
Sijui hata inaandikwaje.

Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?

Mtajaza wenyewe.

Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?

Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.

Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.

Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.

Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].

Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.

Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.

Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.

Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.

Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!

Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.

Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.

Sifa kem kem toka kila pande 🤣.

Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.

Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.

Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.

Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.

Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..

Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?

Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.

Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
Hivi Joni alikuwa ni msukuma au mnyambwa/mnyambo/mkimbizi?Kwa hiyo unamtetea shetani kwa ushetani wa shetani mwingine? 😈 Devils!
 
Siku hizi kuna chawa tuu
 
Vilikuwepo lakini siyo kwa kiasi kikubwa kama Magu alipoingia madarakani. Waliopita walifanya kinafiki kwasababu hawakutaka kupoteza misaada ya wafadhili na kutengwa na jumuiya ya kimataifa. Ndiyo maana wakawa “wanatoa” baadhi ya majimbo ili kuweza kufikia ile “quota” inayohitajika bungeni na mataifa wafadhili. Ambapo pia kuna kamati za bunge zinazotakiwa kuongozwa na upinzani nk

Hapo Magu yeye hakujali maana aliamini kwamba tunaweza kuishi bila hiyo misaada. Tena alisema sisi ni “donor country”

Baadaye alipokuja kugundua amepotoka, aliwachuuwa wale “COVID-19”, kina Mdee na sijui wake za viongozi walioenda chauma, ili kuweza “kufunika kombe mwanaharamu apite”

So he went to the extreme.

Awamu zilizopita haswa JK na yeye pia yalitokea, lakini siyo kwa ile kasi ambapo alitaka kufuta upinzani.

Maandamano Magu alipiga marufuku, uhuru wa kujieleza ukapigwa marufuku.

Kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, tukashuhudia hofu kubwa na utawala wa kidikteta.

Huyu wa sasa amefanya na kupitiliza. Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama Magu tu. Sema huyu katili zaidi.

Na tofauti take huyu na Magu, ni kwamba Magu alikuwa mzalendo na huyu ameleta uharibifu ambao hata akija kuondoka, madhara yake yataonekana generations to come.

Ni kama vile hana mapenzi ya dhati kwa Taifa hili.

Magufuli did it in the name of patriotism and a love for the country. Where as the current one is doing it for the clique.
Hapo kwenye covid JPM anahusika vp wakati pale kulikuwa na wake wa viongozi wa chadema wanaotakiwa kuwapitisha hao watu wawepo bungeni?
 
Mkuu sema ukweli kwa mantiki ya hoja ya Gwajima kada na mneki wa chama tawala, je wewe na wasiojulikana nani anakutumeni???

Maana wewe Tlaatlaah umekuwa mtetezi kinara wa ukatili wa wasiojulikana humu ndani!

Mkuu usione watu wapo kimya, wana maumivu makubwa na wanakuzoom tu!
Gentleman,
sitetei porojo, stori za pata potea wala drama za kindezi kama anazosimulia gwajima,
ni nonsense tupu.
kua na maumivu ya kinafiki ni ushirikina gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom