Chakushanga ukiwauliza leo wapinzani (Lissu) kati ya mwendazake na sasa bora yupi watasema bora mwendazake.Shida ya Magufuli, yeye kama mwenyekiti wa ccm, alikataa kabisa upinzani “wasipewe” hata jimbo moja kwenye uchaguzi mkuu. Hilo aliliweka wazi. Na nimetumia neno “wasipewe” Kwasababu hata majimbo waliyokuwa wakishinda wapinzani siyo kwasababu ya uchaguzi kuwa huru.
Sasa hapo kwanini mwenye makosa iwe ccm peke yake?
Mengi sana yanayoendelea sasa hivi ni “copycats” kutoka kwenye utawala wake.
Mama akitaka afanye kama mtangulizi wake ili kuweza kudhibiti “dissents”
Kwenye hilo ameweza kufanya na kupitiliza zaidi yake.
Happy Memorial Day weekend to you as well.
Hilo nimeliona na mimi.Chakushanga ukiwauliza leo wapinzani (Lissu) kati ya mwendazake na sasa bora yupi watasema bora mwendazake.
kadai ana list ya watu 80 mpaka sasa waliotekwa, hiyo kwako ni nonsese? karopoka mjibuni adharani asibitishe zaidi, hii mahakama ya wazi ya umma, jitokezeniGentleman,
chukua maelezo hayo ya msingi, na yakikulemea usiyageuze kua matusi. Ukweli ndivyo ulivyo mchungu.
porojo na story za mpotoshaji gwajima ni useless and completely nonsense 🐒
Maana yake afadhari jana. Meaning tuendapo ni kubaya zaidi ya leo kwa mfumo huu ccmHilo nimeliona na mimi.