Huu msamiati umetoweka kabisa katika midomo ya watu. Mliambiwa lakini hamkusikia!

Watu walianza kutekwa na kupigwa kipindi cha Magufuli tu?
Vilikuwepo lakini siyo kwa kiasi kikubwa kama Magu alipoingia madarakani. Waliopita walifanya kinafiki kwasababu hawakutaka kupoteza misaada ya wafadhili na kutengwa na jumuiya ya kimataifa. Ndiyo maana wakawa “wanatoa” baadhi ya majimbo ili kuweza kufikia ile “quota” inayohitajika bungeni na mataifa wafadhili. Ambapo pia kuna kamati za bunge zinazotakiwa kuongozwa na upinzani nk

Hapo Magu yeye hakujali maana aliamini kwamba tunaweza kuishi bila hiyo misaada. Tena alisema sisi ni “donor country”

Baadaye alipokuja kugundua amepotoka, aliwachuuwa wale “COVID-19”, kina Mdee na sijui wake za viongozi walioenda chauma, ili kuweza “kufunika kombe mwanaharamu apite”

So he went to the extreme.

Awamu zilizopita haswa JK na yeye pia yalitokea, lakini siyo kwa ile kasi ambapo alitaka kufuta upinzani.

Maandamano Magu alipiga marufuku, uhuru wa kujieleza ukapigwa marufuku.

Kwa mara ya kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, tukashuhudia hofu kubwa na utawala wa kidikteta.

Huyu wa sasa amefanya na kupitiliza. Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama Magu tu. Sema huyu katili zaidi.

Na tofauti take huyu na Magu, ni kwamba Magu alikuwa mzalendo na huyu ameleta uharibifu ambao hata akija kuondoka, madhara yake yataonekana generations to come.

Ni kama vile hana mapenzi ya dhati kwa Taifa hili.

Magufuli did it in the name of patriotism and a love for the country. Where as the current one is doing it for the clique.
 
Hebu tujadili kwa taarifa za ukweli na si ubashiri wala hisia.

Kipindi cha Magufuli ni watu wangapi waliotekwa na kupigwa ukilinganisha na tawala/ awamu zingine?
 
Hebu tujadili kwa taarifa za ukweli na si ubashiri wala hisia.

Kipindi cha Magufuli ni watu wangapi waliotekwa na kupigwa ukilinganisha na tawala/ awamu zingine?
Mkuu wangu vingi vinafahamika huku kitaa tuu wengi sana hakuna aliyekuwa anathubutu kupanua mdomo.

Wengi sana wanafahamika huku kitaa na hakuna mtu wala media yoyote ile iliyothubutu kuripoti.

Ninayo mifano hai.
 
Mkuu wangu vingi vinafahamika huku kitaa tuu wengi sana hakuna aliyekuwa anathubutu kupanua mdomo.

Wengi sana wanafahamika huku kitaa na hakuna mtu wala media yoyote ile iliyothubutu kuripoti.

Ninayo mifano hai.
Haya bana.

Ila bila takwimu itakuwa vigumu kuona/ kujadili ni utawala upi hasa hayo mambo yalikuwa mengi.
 
Ishu ya kutekana Tanzania ni ya kishamba sana na wanajua raia wao wengi hawana siraha ila ipo siku watayakanyaga tu na itakua historia naamini hivyo..
 
Hao waliopo madarakani wanaposhindwa kudhibiti na kukemea hayo matukio wanastahili lawama .
 
Hebu tujadili kwa taarifa za ukweli na si ubashiri wala hisia.

Kipindi cha Magufuli ni watu wangapi waliotekwa na kupigwa ukilinganisha na tawala/ awamu zingine?
Roma Mkatoliki
Mo
Azory Gwanda
Ben Saanane
Simon Kanguye
Elia Michael
Abdul Nondo
Jusa Ismail Jusa
Tundu Lissu
 
Sasa kama mama amepitiliza zaidi, inakuaje kosa n la JPM? Huoni hapo kuna kitu kinawafanya wote kuwa hvy na sio wao tuu
 
Hivi Joni alikuwa ni msukuma au mnyambwa/mnyambo/mkimbizi?Kwa hiyo unamtetea shetani kwa ushetani wa shetani mwingine? 😈 Devils!
 
Siku hizi kuna chawa tuu
 
Hapo kwenye covid JPM anahusika vp wakati pale kulikuwa na wake wa viongozi wa chadema wanaotakiwa kuwapitisha hao watu wawepo bungeni?
 
Gentleman,
sitetei porojo, stori za pata potea wala drama za kindezi kama anazosimulia gwajima,
ni nonsense tupu.
kua na maumivu ya kinafiki ni ushirikina gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…