MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
Mkuu jibu hoja, acha porojo na matusi!Gentleman,
sitetei porojo, stori za pata potea wala drama za kindezi kama anazosimulia gwajima,
ni nonsense tupu.
kua na maumivu ya kinafiki ni ushirikina gentleman 🐒
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ilikuwaje?Shida ya Magufuli, yeye kama mwenyekiti wa ccm, alikataa kabisa upinzani “wasipewe” hata jimbo moja kwenye uchaguzi mkuu. Hilo aliliweka wazi. Na nimetumia neno “wasipewe” Kwasababu hata majimbo waliyokuwa wakishinda wapinzani siyo kwasababu ya uchaguzi kuwa huru.
Wewe ni mfano sahihi wana mtu ambae dini imempa upofu, kila jambo analiona kwenye rangi ya udini. Mungu akusaidie Mkuu.tatizo la tanzagiza wala siyo ccm bali ni uislamu, wengi hawajui au hawataki kuona na hawaelewi historia ya nchi hii, uislamu umekuwa vitani dhidi ya Ukristo tangia siku Ukristo umeingia hapa kwetu, maneno kama “mfumo kristo” hayako bila ya sababu, wengi walio Wakristo au wanaojiita wakristo hawamjui adui yao, haya angalia aliyebomoa na anayebomoa chadema ni nani? mwalimu kaongoza kuhamia chaumma, chaumma ni ni chama cha nani? hashimu rungwe (muislamu) kwa nini hawakwenda nccr ?
amkeni …
Wewe ni mfano sahihi wana mtu ambae dini imempa upofu, kila jambo analiona kwenye rangi ya udini. Mungu akusaidie Mkuu.
Gentleman,Mkuu jibu hoja, acha porojo na matusi!
Hakuna jambo jipya,mambo yote yalikuwepo toka zamani kilichobadilika kwasasa ni wingi wa wanaharakati,chawa wanaotekeleza mambo ili kuwaridhisha maboss zao bila kutumia akili pamoja na mitandao ya kijamii inayowafanya watu kupost jambo lolote.Kwawale ambao hawajui historia au vijana wa ovyo wa kizazi hiki wanadhani kuja jipya.Watu walianza kutekwa na kupigwa kipindi cha Magufuli tu?
Naam, mitandao ya kijamii inasaidia sana kueneza habari kwa watu wengi na kwa haraka.Hakuna jambo jipya,mambo yote yalikuwepo toka zamani kilichobadilika kwasasa ni wingi wa wanaharakati,chawa wanaotekeleza mambo ili kuwaridhisha maboss zao bila kutumia akili pamoja na mitandao ya kijamii inayowafanya watu kupost jambo lolote.Kwawale ambao hawajui historia au vijana wa ovyo wa kizazi hiki wanadhani kuja jipya.
Alishasema hataki upinzani hata mmoja. Hao wake wa viongozi ndo walimshawishi JPM akubali wapinzani wawepo bungeni kinyume na kauli yake?Hapo kwenye covid JPM anahusika vp wakati pale kulikuwa na wake wa viongozi wa chadema wanaotakiwa kuwapitisha hao watu wawepo bungeni?
Kwahy JPM aliwachagua hao covidAlishasema hataki upinzani hata mmoja. Hao wake wa viongozi ndo walimshawishi JPM akubali wapinzani wawepo bungeni kinyume na kauli yake?
Kwanini una akili ngumu kuelewa?Kwahy JPM aliwachagua hao covid
Labla nitakuwa sina akili timamu 😎Kwanini una akili ngumu kuelewa?
Siyo watano pekee,Kumbe ni watano tu….
Na chini ya Samia je?
tunashindwa kuutamka kwa sasa!Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed tu kuwa wewe ni Sukuma Gang, hata kama hoja uliyonayo ina mashiko.
Marekani tokea 2016 kuna TDS [Trump derangement syndrome]. Nasi hapa kwetu tokea 2015 mpaka 2022 hivi, kulikuwepo na Magufuli derangement syndrome [MDS].
Kwa ufupi ni kwamba, hao watu wenye MDS tuliwaonya, tuliwafahamisha, na tukawatahadharisha kuwa tatizo la msingi wala halikuwa ni mtu [Rais Magufuli] bali lilikuwa ni CCM.
Tulifanya hivyo kwa kuangalia tulikotoka kabla ya ujio wa Magufuli na kuona kuwa kuna mambo ambayo yalikuwepo kabla yake na yakaendelea kuwepo wakati wake na sasa bado yapo na yanaendelea baada ya uwepo wake.
Ilikuwa ukiwaambia hao wagonjwa wa MDS kuwa mbona hayo mambo mnayomlaumu Magufuli yamekuwepo tokea siku nyingi, ilikuwa ni sawa na kuchokoza nyuki.
Ilikuwa unashukiwa na ghadhabu za raia utadhani umetenda dhambi isiyosameheka.
Sasa ni kipi kilichobadilika? Jibu ni muda!
Muda haujawahi kushindwa hata kidogo. Haujawahi kushindwa katika kuelezea au kuonyesha kitu au jambo.
Mwanzoni mwa utawala wake alisifiwa sana.
Sifa kem kem toka kila pande 🤣.
Tuliambiwa hafoki, hatumbui, hateki watu, hana kauli mbaya, na kadhalika.
Tukaonyeshwa na ushahidi wa matokeo ya hizo sifa: halindwi na maaskari wenye bunduki za kivita kama yule dikteta Msukuma.
Tulio na busara na hekima tukawaonya kuwa ni mapema mno kuanza kutoa mahitimisho ya namna hiyo.
Tukaishia kupuuzwa, kuchekwa, na kuitwa ma-Sukuma gang tulio na machungu ya kufiwa.
Haya, peleka muda mbele mpaka leo hii, zaidi ya miaka minne tokea Msukuma arudishe namba…..
Akina nani ndo wamekuwa wa mwisho kucheka na akina nani ndo wanaolia na kusaga meno leo?
Schadenfreude, for now, is my new favorite word…….that is if you’re picking up what I’m putting down 😉.
Happy Sunday and happy Memorial Day weekend for those in the US 🇺🇸.
🤣.Nakumbuka mkuu hata wewe makamanda walikuita Sukuma gang maranyingi sana.
Alafu wakawa wanasema mama unaupiga mwingi,Dr.Bashiru na Slowslow maharamia walitaka kumpindua mama asiwe Rais.
Leo hii kiko wapi?😂😅
Mama bado anaupiga mwingi?tunashindwa kuutamka kwa sasa!