Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka.



Kwa sasa nautumia

Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu.

Kazini kwangu kuna maneno kupitia vyanzo si rasmi naona kuna maneno maneno juu yangu.

Nimeamua kustick na Mungu na kazi zangu na kuhudumia familia. I won't listen to anybody hata aje nani
 
Nini chanzo cha hizo chokochoko kama sio wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…