Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

Asubuhi asubuhi kuitana huku. Huyu jamaa ana tatizo kweli au alituchora kwamba mkewe kawekeza 47m kwao?
Nyumba ni ya mwanamke, na sio kwamba kawekeza kwao..... Hicho ndio kinamuumiza jamaa
 
Unatatizo sehem uchunguzwe, vile ulivyojiweka ndivyo unavyokuwa
 
Haloo. Ila haya mambo yasikie tu kwa mwenzako.

Halafu ndoa nyingi huanza vitimbi wakati ujenzi unaanza na au baada ya kununua gari au baada ya nyumba kukamilika.
Penye neema ndivyo mambo hukuwaga
 
Haloo. Ila haya mambo yasikie tu kwa mwenzako.

Halafu ndoa nyingi huanza vitimbi wakati ujenzi unaanza na au baada ya kununua gari au baada ya nyumba kukamilika.
Inaelekea una experience, pole yetu sote
 
Analyse Kapeace kitendo cha kuingia Ingia jf ni ishara ya stress poleni waathirika wenzangu

Most of the problems in life are because of two reasons

1. We act without thinking or

2. We keep thinking without acting.

Mimi nimeamua ku act
 
Back
Top Bottom