Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

Inaelekea una experience, pole yetu sote
Nimesuluhisha, nimesikiliza kesi, nimeandika hukumu na pia nimesomea sheria kwa hiyo kesi za ndoa nina uzoefu nazo. Kwa hiyo karibu kwa ushauri!
 
Unataka niombe unishaur hadharani kama hivi? Mwanasheria msomi vipi unafeli kwa hilo.

Pale nilipoandika. Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu.

Wanawake wanatabia ya kiwa na mashost wanashare habari za waume zao. Hii kwa mtaani ilinionesha indication kwamba kwa role yangu kama mwanaume kichwa cha familia misimamo yangu inayomkera mwenzangu anaiongelea huko.

Na nataka wanaume wajue habari za ndani ya familia zetu wake wasio waaminifu huzizungumza kwa mshost zao, lakini pia mke anayechepuka humwaga aibu yote kwa kidume mchepukiwa, hii inatokea sana.

"I will always take my stand"
 
Unataka niombe unishaur hadharani kama hivi? Mwanasheria msomi vipi unafeli kwa hilo
Hakuna mahali nimesema uombe ushauri hadharani.

Ila nikukumbushe tu kwamba ulileta tatizo lako hadharani kuhusu ugomvi wako na mkeo ukihusisha mkeo kuwekeza milioni 47 kujenga nyumba uliyodai ya baba mkwe.

Kwa hiyo siwezi kukuambia uweke mambo hadharani wakati hata To yeye na Kapeace wanajua ishu yako
 
Jamaa unamambo wewe. To yeye unamuonea bure
 
To yeye ndiye supersub yangu pekee baada ya mgogoro anifariji ingawa tatizo lake anadai mbuzi kagoma ni style za kikatili. Yaani kifo cha mende kwake ni ukatili wa kimaumbile.

Sasa sijui style yake ya kidole juu inamnufaisha yeye peke ake tu, na mimi sipendi style ya kunyanyua gea box .
 
Gearbox
 
Duh To yeye huyu huyu ninayemjua?
 
Analyse Kapeace kitendo cha kuingia Ingia jf ni ishara ya stress poleni waathirika wenzangu

Most of the problems in life are because of two reasons

1. We act without thinking or

2. We keep thinking without acting.

Mimi nimeamua ku act
😂😂Yataisha vumilia
 
Hakuna mahali nimesema uombe ushauri hadharani.

Ila nikukumbushe tu kwamba ulileta tatizo lako hadharani kuhusu ugomvi wako na mkeo ukihusisha mkeo kuwekeza milioni 47 kujenga nyumba uliyodai ya baba mkwe.

Kwa hiyo siwezi kukuambia uweke mambo hadharani wakati hata To yeye na Kapeace wanajua ishu yako
Jamaa ana gubu balaa
 
To yeye ndiye supersub yangu pekee baada ya mgogoro anifariji ingawa tatizo lake anadai mbuzi kagoma ni style za kikatili. Yaani kifo cha mende kwake ni ukatili wa kimaumbile.

Sasa sijui style yake ya kidole juu inamnufaisha yeye peke ake tu, na mimi sipendi style ya kunyanyua gea box .
😂😂😂😂mbuzi kagoma nimepigishwa asubuhiasubuhi....nipo nasikilizia tu hapa
 
Back
Top Bottom