Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

Very cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
Wewe unajua hata kujua kwelo polepole yuko wapi..?

Kwanini unadhani hujui?

Kwanini unadhani mmeshindwa hata kunasa mawimbi ya simu zake ili kujua alipo kisha mumteke, kumtesa na ikibidi kumuua kama ilivyo kawaida yenu...?

Kesho anaongea. Anasema atakuwa maeneo ya Mbezi Beach mtaa wa Kipalapala, nyumba namba 347...

Karibuni
 
Ccm ni sikio la kufa
 
Acha wafu wazikane
 
Msitu wa kunguru ndo uwe tishio?! Not true.
 
Polepole kwa CCM ni kama tone la maji baharini. Kina Mrema na Lowassa walishindwa kuipasua CCM iwe Polepole?
 
Vitisho vya kitoto sana hivi
Mchukueni shujaa wenu mmpeleke kamati kuu ya chadomo muungane naye..
KULIKO KULETA VITISHO VYA KITOTO NA KI "K"
 
Tatizo ni kuwa watu Wana reference za kina El etc,nawapa pole
Zama, nyakati,majira vimebadirika mno km mnadhani this time ni bness as usual basi your very wrong
Just wait ,watch...
Tutarudi humu jmn ,tutarudi humu tusimbiane.....sio sbb ya polepole ila sbb hii nchi inaenda phase nyingine kabisa watu watabaki wanashangaa.....

3, 7 and 28 August....watch
 
Very cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
huyu ndugai atarudi bungeni wajuba? Sasa kama makamba kafyekelewa mbali, mtu aliyefika tano bora kugombea urais amefyekelewa hatua ya awali ya ubunge, si ndio zamu ya ndugai imewadia? Kawekewa watu kibao wa kuchuana nao, tusubiri tuone
 
Very cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!
Na wewe nani huko kwenye politics za CCM au mshika pembe tu wenzako wanakula bora hata polepole alishwahi kufika ngazi juu CCM
 
Ni mkakati endelevu mpaka warushe udongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…