Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

 
sijaona ushahidi wowote katika bandiko hili; lakini ni bandiko la kutia matumaini tu.

Lakini kama ndivyo hivyo; basi sasa tutaona maambano ya ande mbili zilizo jizatiti kweli kweli.

Samia na GENGE lake, tayari wamekwisha piga hatua moja mbele. Naona bado wamelishikilia kasha la chama (CCM), kama kinga yao. Sasa, kama kuna hilo kundi la pili; pori lenye kila aina ya wanyama, kama asemavyo mleta mada; hili kundi litakuwa na kazi ya ziada kunyang'anya Kasha (CCM) toka mikononi mwa GENGE na kuwaacha wakiwa utupu wa mnyama. Bila kasha la CCM, GENGE halina kinga yoyote.
 
Gang ya polepole ikubali imeshindwa this time ijipange next time... huo ndio ushauri wa muhimu zaidi kwao na hiyo ndio maturity kwenye siasa.
EEEeeeenHEEEE!
Unazungumzia "MATURITY" ya siasa?
Hivi unaelewa maana yake ni nini?
Siasa ziko wapi hapa kama siyo maigizo na ngonjera!
"maturity' za siasa"; my foot!

Ni kipi kinacho kufanya wewe umwone Makamba kuwa wa thamani kubwa zaidi ndani ya CCM kuliko Popole?
 
Aangushe tu hilo bombshell
 
Very cheap insinuation. Alijihuzuru Spika Ndugai mkasema hivyo hivyo. Leo yupo huko anapambana kurudi mjengoni. Polepole is just a peanut in CCM and Tanzania politics!

Speaker alijiuzuli kwa hiyari? Akili za Kobaz wa Pakistan hizi
 
Sijui hata umeongea nini! Lakini ndio JF. Kila mtu na mawazo yake!🙏🙏🙏🙏
 
Mnatuchosha na hekaya zenu sasa....TumainiEL keshasanda kule, wewe ndo unaanza na tabiri zako.

Bomu la kufisha...lipi lingine zaidi ya hilo lililopo mjengoni?

Ebu tafuteni vimada vya kuwaelimisha na kuwafunza watanganyika; zaidi UFISADI, ULAFI, WIZI na UCHAWA uingizwe kwenye MITAALA ya elimu rasmi!
 
huyu ndugai atarudi bungeni wajuba? Sasa kama makamba kafyekelewa mbali, mtu aliyefika tano bora kugombea urais amefyekelewa hatua ya awali ya ubunge, si ndio zamu ya ndugai imewadia? Kawekewa watu kibao wa kuchuana nao, tusubiri tuone
Hakuna aliye mkubwa zaidi CCM ndani ya CCM. Mzee Cigwiyemisi alikatwa jina kugombea Urais mwaka 1995 akiwa na miezi minane tu ametoka kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, nini Makamba kuwa mmoja wa wagombea watano wa Urais?
 
Na wewe nani huko kwenye politics za CCM au mshika pembe tu wenzako wanakula bora hata polepole alishwahi kufika ngazi juu CCM
Ukimuona Rambo au Schwarzenegger anakinukisha kwenye movie, ujue kuna watu wanaofanikisha hayo wakiwa "behind the scene"!
 
Watakuambia msitu huo hautishi kwa sababu umejaa nyasi, hauna miti
 
Walioshikilia kasha ni machawa na wapiga kelele tu Ambao hawakijui chama kabisa wenye chama ndio turufu kubwa kwa kundi hili Pole pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…