Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

Ngoja tutunze bando Kwa ajili ya Ndugu Polepole Leo saa mbili usiku. Mungu wa Mbinguni ni mwema sana, huenda kupitia Kwa Polepole na waliopo Nyumba yake wakaokoa Tz na vizazi vyake tusiingie kwenye utawala wa kisultani wa familia 2
 
Hakuna aliye mkubwa zaidi CCM ndani ya CCM. Mzee Cigwiyemisi alikatwa jina kugombea Urais mwaka 1995 akiwa na miezi minane tu ametoka kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, nini Makamba kuwa mmoja wa wagombea watano wa Urais?
Sawa kabisa
 
Ngoja tutunze bando Kwa ajili ya Ndugu Polepole Leo saa mbili usiku. Mungu wa Mbinguni ni mwema sana, huenda kupitia Kwa Polepole na waliopo Nyumba yake wakaokoa Tz na vizazi vyake tusiingie kwenye utawala wa kisultani wa familia 2
Mungu amtumie kijana
 
Unaakili nyingi sana ila jitahidi kutafuta na elimu maana akili nyingi bila elimu ni ngumu kuelewa tunakoenda wewe utakuwa unapaona tu ulipokanyaga sio unapoelekea
 
Namuona mleta bandiko kama anatutoa hofu tuliyonayo Watz ila Kwa akili kubwa sana. Inaonekana ni kweli Wazalendo wa kweli wako kazini na tena kazi hii ya akili kubwa haijaanza juzi wala mwaka Jana bali ni ramani iliyoanza kutekelezwa baada ya mwenda zake au kabla ya mwenda zake. Kuondoa Mtandao wa 1995 sio kazi lelemama, utavuliwa jezi asubuhi tu. Naona kabisa Wazalendo wako ukingoni wa ramani Yao. Familia moja wameshamalizana nayo Kwa akili kubwa sana zimebaki 2, Mungu wa Mbinguni awatangulie wamalizane nazo Tz ya Kisultani izikwe rasmi.
 
nasikia hakuna kijana mwenye miaka 55
 
Tatizo la nchi hii ni usaliti. Polepole wa CCM anapambana, chadema wanajitoa.
 
Mkuu siasa zote duniani ni maigizo.

Ndiyo maana kina biden, Obama, Bush, Nancy Pelosi wamekuwa kwenye corridors of power na wanainfluence politics kwa miaka 20 hadi 30... ndiyo siasa.

Siasa ni kama zile gang za madawa tu; gang yako ikipigwa kaa chini jipange... thamani ya mtu inapimwabna yeye yuko kwenye gang ipi by that time na inainfluence michakato ya nje na ndani kwa kiwango kipi... (mfano kipindi cha JPM, HP alikuwa sehemu ya gang hiyo...sasa Gang yao yote inapigwa vibaya.. wakipange lasivyo watapotea kabisa kwenye politics...

January anajaribu kuzichanga vizuri, unadhani amefurahi kukatwa??? Anajaribu kunkeep it low huku akijipanga na kuangalia hadi 2030 nini kitakuja in his favour...

Hata CDM gangs zipo tu - ni kawaida kwenye politics (kwa viongozi ni ama uwe mtu wa FAM ama uwe mtu wa TAL) na kundi lakonlikipoteza chance kubwa ni kuwa usipotuliza alili inapoteza kila kitu (winner takes it all)... hata sasa unaona watu wa FAM wanavyochakatwa??? Watakaobaki ni wale moderate kama kina sugu, ila wale conservatives design ya kigaila hawawezi kuishi tena CDM...FAM nageshinda Lema alikuwa hana maisha CDM.. ni ukweli mgumu lakini ndio ukweli
 
Unaakili nyingi sana ila jitahidi kutafuta na elimu maana akili nyingi bila elimu ni ngumu kuelewa tunakoenda wewe utakuwa unapaona tu ulipokanyaga sio unapoelekea
Chawa?

Inawezekana Msheku amekuzidi kila kitu, na u-daktari wa heshima akawa nao.

Elimu yangu ni kama BOMU LA MJENGONI, sihitaji kuona unakoenda wewe, hakunihusu!

Jingine linaloweza kusaidika kwa kuwa na elimu kama yako?
 
Mganguzi kwani we uko upande gani wazalendo ama "family dynasty"? Maana kwenye hii dunia na ukiwa mwanaume mwenye kifua kipana si kila kitu kinatakiwa kusemwa, mengine yaache Ili mda uamue wenyewe.

Kimsingi sie wananchi wa kawaida na hao CCM wako si kweli kwamba wana tatizo lolote na Polepole na sana sana wengi wetu tunatizamia lolote litokee Ili walau tuone tunafanyaje maana hawa wahuni kuendelea kucheza nao ni kucheka na nyani kwenye shamba lako la ndizi
 
Reactions: Ame
Kwa CCM hapo tunajidanganya polepole hawezi kufanya kitu CCM NI LIDUDE KUBWA SANA usicheze na nguvu ya mwenyekiti
 
You've depth, even though I disagree with the concept you're advancing.
I'll skip this discussion for now. There're more important issues of our nation to pay attention too.

I NOTE: 'Smart Dude'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…