Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

Hakuna lolote litakalowatokea wale walioamua kutumia akili zao kujinufahisha Hadi pale nasisi tutakapoamua kushughulisha akili zetu
 
Ukimuangalia, utagundua Kuna mambo yanantafuna nahana chochote nikama mtu mwenye miamko
Kutokana hisia na macho yako ulivyomuona, kama ni hivyo siwezi kupingana na hisia zako, ila mimi binafsi namuona ni mtu makini kwa kipindi hiki wahuni wanataka kujimilisha nchi kwa familia zao, kuanzia kwenye teuzi zao.
 
Kutokana hisia na macho yako ulivyomuona, kama ni hivyo siwezi kupingana na hisia zako, ila mimi binafsi namuona ni mtu makini kwa kipindi hiki wahuni wanataka kujimilisha nchi kwa familia zao, kuanzia kwenye teuzi zao.
Nabado anaishi nyumba hiyo hiyo, nipropaganda tu watuwamsahau aliyeshikiriwa
 
Polepole bila kuzungumzia Kitabu kikubwa maana yake hajui tatizo ni nini !
Na mtu ambaye bado hajui tatizo lipo wapi inakuwa ni vigumu sana kutatua tatizo linalo msumbua !

Polepole ashauriwe akae kwanza kwa kutulia kisha afahamishwe tatizo kuu ni lipi !
Vinginevyo watu wataamini jamaa amedata 😳 !
 
Mligeuka kuwa msitu!
 
Huyu yote atayosema mabaya ya CCM ni yeye alikuwemo kwenye ubunifu na utekelezaji.
Hawa wanaoruka vyama hawana maana. Sasa kakaa tamaa ya fisi anabgojea atupiwe fupa na upinzani afaidi Kisha asepe.
Watu wameisha mjua hana lolote la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…