Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

usitutishe,msitu si umesimama juu ya ardhi. vipi ardhi ikinyauka msitu si utakauka?
mi nadhani atakuwa tishio pale atakapoanza kuongelea NRNE
 
Wanaojiita wanausalama was nchi hii walitukosea sana!

Ona tunavyoteseka na adrenaline secretion Kwa blood circulation tangu kuanza mwezi july Hadi leo!!

Ni vizuri kutengeneza mifumo ya kueleweka predictable ili tuachane na speculations vifo,coup d'etat na blah blah kibao!

Heb watuondolee huu uchafu uitwao siasa zetu hizi za kijinga!
 
Naunga Mkono hoja kuhusu jamii ya Wajinga.

Watu zisipowafaa akili zao, utawadhuru Ujinga wao.

Watanzania ni kichwa cha wendawazimu, kila mtu anajifunzia kunyoa.

Failed Citizens.
Polepole ni sauti ya mtu aliaye nyikani... wanaopuuza wako usingizini ila wajue kwamba wasio na sauti ni wengi na wanaunga mkono hoja.. nimeona hii na interior hawa walikuwa upande wa mwenda.. na sio wa mja tusubiri! umasaini
 
Hakuna lolote. Mlisema July.

Leo imekuwa 28 August.

Tuache kudanganyana basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…