Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
Huu hauna dodoki huo ni mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu tunaita mifungula nafahamu mambo mawili kuhusu huo mti na moja ninauhakika nalo
lakwanza unatumiaka kama dawa ya mifugo(Ndege wafugwao)
Unachukua tunda moja unalichonga kama mtumbwi au box uweze kuweka maji
inasaidia sana kinga na kuku kustawi mno

lapili nasikia wachawi wanatengenezea simba kuna dawa wanachanganya wananuaia anatokea simba na unatumiwa japo nakua nasimuliwa haya mambo sina uhakika nayo
 
Sio dodoki hilo
Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.

get well soon tl
 
Mkuu huu sio mdodoki,,, umechanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
Si kijijini tu! Makao mapya (arusha)ndipo nilipoishi jirani na Mti huu toka utotoni! Ulikuwa pale pembeni ya fence ya Technical college arusha kabla ya ujenzi wa barabara ile ndogo inayotokea galaxy!
 
Mkuu una uhakika gani kua alitaka kuandika hilo neno? Japo unaweza kua sahihi ila next time toa suggestion tu na sio urekebishe moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Una chuki binafsi?

Swali:Huu mti unaitwaje?
Jibu:
Kigelia africana

" For centuries, the sausage tree has been used as a valuable herbal medicine by a number of traditional healers and African communities........."
 
huu mti unaitwa mpapai unatumika kama mpapai
asanteni sana
 
Back
Top Bottom