Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Lifimbi kwa lugha yetu, kazi kuu iikuwa ni kubembea kwenye hzo kamba ni ngumu sana,
Huku ng'ombe wakipenda kula sana hayo matunda,
 
Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
Kwa lugha ya Kijita au Kikerewe au Kiluli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
unataka kufanana lakini sio huo unaosema wewe wa mdodoki
 
Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
unauchemsha au unatafuna mbichi
 
Kwa kabila la wamasaii huu mti unaitwa mlegea, tulikuwa tunachanja tunda dogo, then maji yake unayachanja kwenye mkuyange, kadri unavyozidi kukua ndvyo mkuyange unavyoongezeka, ikifika size yako unayotaka, unaenda kutoa lile tunda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
Umejichanganya , sio tunda hilo kuwa dodoki.
Huu kwetu unaitwa "Muegea"
Ni giant tree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom