Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Kwa kabila la wamasaii huu mti unaitwa mlegea, tulikuwa tunachanja tunda dogo, then maji yake unayachanja kwenye mkuyange, kadri unavyozidi kukua ndvyo mkuyange unavyoongezeka, ikifika size yako unayotaka, unaenda kutoa lile tunda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mwanangu ulimpata jamaa yetu mmoja. Tukakuta ameyapulua matunda yote! Shida ilikuja pale aliposahau tunda alilochanjia huku mkuyenge ukizidi kunona, alilia kama mtoto mdogo kabla hajapewa wazo la kupulua matunda yote! Sijui mashine ingekuwaje!!
 
kwahiyo ni dawa!!
au supu...kwamba kuna viungo unaongeza ili unywe?
Ukichemsha maji yake yakikaa siku kama 2 yanakuwa na radha ya Pombe ya kienyeji. Yanakuwa na ka utamu fulani hivi!
 
Back
Top Bottom