Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Watu wengine hufikiri kuwa kufanya sex ni kukomoana! Pole!Kule kwetu hutumika kwa kurefusha na kunenepesha . Mashine inakuwa kama umemuingiza goti
li ninje au li jungute
nimekwndikia lugha mblili tofauti hapo chagua moja kwani si mnasema kiswahili ni kibantu
Unaitwa Ngw'icha/e
Huu hauna dodoki huo ni mwingineAiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
Mkuu huu sio mdodoki,,, umechanganyaAiseeeee.....umenikumbusha mbali sanaaaa mzeeeeeee...................
M naufaham kwa jina la mdodoki,na hlo tunda([emoji16][emoji16][emoji16]) tulikuwa tunatumia kama brash la kujisugulia wakati wa kuoga,kufua na kuoshea vyombo.
Si kijijini tu! Makao mapya (arusha)ndipo nilipoishi jirani na Mti huu toka utotoni! Ulikuwa pale pembeni ya fence ya Technical college arusha kabla ya ujenzi wa barabara ile ndogo inayotokea galaxy!Ni kweli, ni miti miwili tofauti, na kwa wale ambao hawajakulia kijijini hawawezi kamwe kujua huu mti, na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu na sisi pia hutumika kuongeza damu mwilini, matumizi mengine sijui. Sisi tunaliita "Lisamwa" kwa kiluga chetu.
Mkuu una uhakika gani kua alitaka kuandika hilo neno? Japo unaweza kua sahihi ila next time toa suggestion tu na sio urekebishe moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umzungwa(fipa one).
Mbona umetamka jina lake kama kwetu?
Kwetu tunaita "Imomo" nadhani ndo uzuri wa kibantu kila mtu anaelewa kivyake
Maeneo mengine mkoa wa Kilimanjaro unaitwa imumuKwetu tunaita "Imomo" nadhani ndo uzuri wa kibantu kila mtu anaelewa kivyake
Sent using Jamii Forums mobile app