Huu mti unaitwaje na matumizi yake ni nini?

Hii mwanangu ulimpata jamaa yetu mmoja. Tukakuta ameyapulua matunda yote! Shida ilikuja pale aliposahau tunda alilochanjia huku mkuyenge ukizidi kunona, alilia kama mtoto mdogo kabla hajapewa wazo la kupulua matunda yote! Sijui mashine ingekuwaje!!
 
kwahiyo ni dawa!!
au supu...kwamba kuna viungo unaongeza ili unywe?
Ukichemsha maji yake yakikaa siku kama 2 yanakuwa na radha ya Pombe ya kienyeji. Yanakuwa na ka utamu fulani hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…