Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Dada zake ametuacha kwa mbaliAki vileee cha kwanza kukioni mm hapo ni "zigo" hicho kiduku mchongoma nimekiona mwisho,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada zake ametuacha kwa mbaliAki vileee cha kwanza kukioni mm hapo ni "zigo" hicho kiduku mchongoma nimekiona mwisho,.
Wewe huja mind mkuu?hapa naona huyudogo amemind mzigo[emoji90] [emoji12] [emoji12] View attachment 882974
Hahahahaa kama mm nasubiri saaana kwake aisee,.lolDada zake ametuacha kwa mbali
[emoji23][emoji23][emoji23]binafsi nimekusoma vizuri sanaWanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!
Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!
Nawasilisha.
View attachment 882884