Huu mtindo wa Pascal vipi?

Huu mtindo wa Pascal vipi?

Kuna watu wamejaaliwa hapo akiongozana na mimi tukiangaliwa kwa nyuma ataitwa yeye
 
Wanabodi nawasalimu sana!

Mi nimeshazeeka.

Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!

Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!

Nawasilisha.


View attachment 882884
[emoji23][emoji23][emoji23]binafsi nimekusoma vizuri sana
 
Hii picha imeshazunguka kweli.
Kwingine wanaongelea huyo wa mwisho kulia anavyoangalia kalio la huyo mwenzie kwa bashasha, wewe Slim5 unaongelea mtindo wa nywele. hahahah
 
huyo jamaa wa kulia mwenye light blue anashangaa kibindankoi cha mheshimiwa
 
hahahahaha acheni wakuu mtamponza manula hahahahaha
 
Back
Top Bottom